Ndugu yangu hawamtaki,wakimtaka anachuukuliwa saa nane mchanaWanambadilishia magari maana bado ana maadui wengi sana wanajaribu kuchenga maadui
Show room KakaAisee haya magari anatoa wapi?
daah huyu mnyama ni balaa sana dogo kwenye magari anafaidi kuliko mzee wakeInfinity hilo jingineView attachment 1075668
Umejuaje mkuu?Wanambadilishia magari maana bado ana maadui wengi sana wanajaribu kuchenga maadui
Mariam birian ni nini?Jamani bodigadi wa Makonda aliyetajwa kesi Nape katajwa kesi ya Mariamu Biriani
Mkuu upo Dodoma nini? ya huku mjini tuachie sisi watoto wa bandari salama wameshanisomaMariam birian ni nini?
Nipe iyo script kdgoMkuu upo Dodoma nini? ya huku mjini tuachie sisi watoto wa bandari salama wameshanisoma