Baadhi ya magari ya RC DSM

Baadhi ya magari ya RC DSM

Jamani wadau na wataalamu wa maswala ya sheria na utawala embu tujadili juu ya hii tabia ya Mkuu wetu wa Mkoa wa Dar es Salaam kubadili magari kila anapojisikia na kubandika namba ya RC. DSM. Je kisheria imekaaje maana nnavyojua Mkuu wa Mkoa anapewa gar na Serikali na linakua na namba hiyo special sasa kama inatokea kiongozi akataka kubadili inaruhusiwa na kama hairuhusiwi sheria inasemaje.
20190422_123946.jpg
 
Mwanzisha mada una roho mbaya na ukiendelea hivi ukizeeka utakuwa mchawi....Kama una malalamiko kuhuzu mali za huyo mkuu wa mkoa peleka Tume ya Maadili ya utumishi wa umma.
 
Yaani wewe kufa na hali yako bwana unakuwa na wivu wa kimkemwenza wkt huyo ana maisha ya juu kwa wakati tu badae anatoka na kurudi uraiani
 
Mwanzisha mada una roho mbaya na ukiendelea hivi ukizeeka utakuwa mchawi....Kama una malalamiko kuhuzu mali za huyo mkuu wa mkoa peleka Tume ya Maadili ya utumishi wa umma.
Sikuanzisha hii mada kwa ajili ya kilaza kama wewe, ndio maana nikasema wataalam wa utawala na sheria wewe la 7 c soma upite maana nyie mnaokaa kwa dada zenu kula kulala kwa shemeji ndio mnasumbua
 
Mwanzisha mada una roho mbaya na ukiendelea hivi ukizeeka utakuwa mchawi....Kama una malalamiko kuhuzu mali za huyo mkuu wa mkoa peleka Tume ya Maadili ya utumishi wa umma.

Hiyo tume ni kibogoyo haina lolote zaidi ya kula hela za Mabwege. Kwani hiyo tume haioni hayo magari? Huyo dogo anafanya kufuru huku wafanyakazi hawapandishiwi mishahara, yeye kama mtumishi wa umma kapata wapi hela za hizo kufuru?
 
Jamani wadau na wataalamu wa maswala ya sheria na utawala embu tujadili juu ya hii tabia ya Mkuu wetu wa Mkoa wa Dar es Salaam kubadili magari kila anapojisikia na kubandika namba ya RC. DSM. Je kisheria imekaaje maana nnavyojua Mkuu wa Mkoa anapewa gar na Serikali na linakua na namba hiyo special sasa kama inatokea kiongozi akataka kubadili inaruhusiwa na kama hairuhusiwi sheria inasemaje.View attachment 1078105
Inakusaidia nini?
 
Mwanzisha mada una roho mbaya na ukiendelea hivi ukizeeka utakuwa mchawi....Kama una malalamiko kuhuzu mali za huyo mkuu wa mkoa peleka Tume ya Maadili ya utumishi wa umma.

Soma vizuri, Mwanzisha Mada hazungumzii Mali za Mkuu wa Mkoa
 
Mkuu kwa uzoefu wako kuna RC aliwahi kufanya haya kwenye historia ya nchi yetu
usisumbuke naye hata kidogo kwani yote haya yataisha ndani ya muda mfupi ujao. Ya Mobutu yako wapi? Hesabu yao ni wengi na mwisho wao ulijaa aibu kama ule utajiri wa punje za mahindi! Vuta subira na omba uzima ushuhudie anguko lake!
 
Back
Top Bottom