Baadhi ya kina dada wawapo faraga,Tabia hizi za nini?

Mimi nafikiri changudoa au dada poa ndio ambao hawatakiwi kujishaua au kujificha ficha kutokana na nature ya kazi na tabia zao. Lakini mwanamke yeyote mwenye staha zake, amekukubali, bado inapendeza zaidi, akusumbuesumbue kidogo, afichefiche, n.k.

Isitoshe, katika kuondoa mkono unapomshika, anajaribu kupitisha muda, na kuuandaa mwili taratibu kukabiliana na shughuli itakayofuata. Hii ina maana akiondoa mkono baada ya kushika kwenye sehemu A, jaribu kushika sehemu B. Au acha kwanza, nenda kwenye friji, lete kinywaji, kunywa nae, piga maneno mawili matatu, halafu gusa tena.

Huu ni mtazamo wangu tu. Mie sio mtaalam kwenye hili jukwaa.
 
kokudo bwana, hata kicheche unataka a-behave kama mkeo??!!
Vya wizi havina uhuru my friend, oa kabisa
 
mimi kila mwanamke kakiona aibu aibu ndio kananipandisha mzuka lakini mheshimiwa kokudo inaonekana ni mstaafu wa jeshini anataka yeye na mdada watumbuliane mijicho kama wabunge wa uganda. khaa

Ha ha ha ha!! Najaribu kufikiria kutumbuliana mimacho!!
 
CPU umeshasali, eti wewe unapenda kutumbuliwa mimacho?
Afu ile ishu vipi mtu angu? Kuna usalama kweli.
 
Mimi nafikiri changudoa au dada poa ndio ambao hawatakiwi kujishaua au kujificha ficha kutokana na nature ya kazi na tabia zao. Lakini mwanamke yeyote mwenye staha zake, amekukubali, bado inapendeza zaidi, akusumbuesumbue kidogo, afichefiche, n.k.

Isitoshe, katika kuondoa mkono unapomshika, anajaribu kupitisha muda, na kuuandaa mwili taratibu kukabiliana na shughuli itakayofuata. Hii ina maana akiondoa mkono baada ya kushika kwenye sehemu A, jaribu kushika sehemu B. Au acha kwanza, nenda kwenye friji, lete kinywaji, kunywa nae, piga maneno mawili matatu, halafu gusa tena.

Huu ni mtazamo wangu tu. Mie sio mtaalam kwenye hili jukwaa.

Nanren ulichosema tayari inathibitisha utaalamu wako .. . . .
 
CPU umeshasali, eti wewe unapenda kutumbuliwa mimacho?
Afu ile ishu vipi mtu angu? Kuna usalama kweli.

My dia huwezi amini mida hii nipo kazin, ila ondoa wasiwasi jamaa yuko fresh nimeteta na ndugu zake ila sema basi tu katingwa na mambo binafsi
 
mimi kila mwanamke kakiona aibu aibu ndio kananipandisha mzuka lakini mheshimiwa kokudo inaonekana ni mstaafu wa jeshini anataka yeye na mdada watumbuliane mijicho kama wabunge wa uganda. khaa
Ha ha ha ha ha hapana mi c mjeshi bana ila ukweli ndo huo
 
My dia huwezi amini mida hii nipo kazin, ila ondoa wasiwasi jamaa yuko fresh nimeteta na ndugu zake ila sema basi tu katingwa na mambo binafsi

Poa aisee!! Afu pole na kazi bwana, usijali kanisani tumesali tukawaombea watu wote pamoja na wakosefu.
 
jamani wanawake wamumbwa na haiba sasa unataka akifika tu guest house asajle na kukukabidhi mzigo? kesho yake wewe mwenyewe utakuja hapa kulaani eti demu amekubuhu hana hata aibu. mwanamke shurti awe na aibu bana hata km ya kukuibia lkn ndo inavyotegemewa. imagine day one tu anakumwagia style zote halafu kesho yake unaingia mitini yeye atajisikiaje? na yeye hapo anakupima mkuu km umefika au mpita njia tu.
Eti eee mmmh haya bwana na inawachukua muda gani kuzoea?
 
Ha ha ha ha!! Najaribu kufikiria kutumbuliana mimacho!!
enzi za uhuru niliwahi kuwa na mdada mmoja, alikuwa akiniangalia tu namuomba razi hata kama sijamkosa. dah! yaani nazani huyu angemfaa kokudo
 
Mimi nafikiri changudoa au dada poa ndio ambao hawatakiwi kujishaua au kujificha ficha kutokana na nature ya kazi na tabia zao. Lakini mwanamke yeyote mwenye staha zake, amekukubali, bado inapendeza zaidi, akusumbuesumbue kidogo, afichefiche, n.k.

Isitoshe, katika kuondoa mkono unapomshika, anajaribu kupitisha muda, na kuuandaa mwili taratibu kukabiliana na shughuli itakayofuata. Hii ina maana akiondoa mkono baada ya kushika kwenye sehemu A, jaribu kushika sehemu B. Au acha kwanza, nenda kwenye friji, lete kinywaji, kunywa nae, piga maneno mawili matatu, halafu gusa tena.

Huu ni mtazamo wangu tu. Mie sio mtaalam kwenye hili jukwaa.
Thanks teacher ntajaribu ku2mia plan B
 
mapenzi sio mkataba mpz ni makubaliano baina yenu na yahitaji
kumbelezana na sio leo ataficha kesho mambo poa uroda nje nje vipi upo?
 
Back
Top Bottom