Baadhi ya google apps ni nzuri sana zaidi ya samsung apps

Msaada wakuu kwani laptop ikiwa na ram ndogo afu storage kubwa ..inakua kuaje hapo ukiwa unatumia au kutakua na mapungufu mapungufu gani wakuu....samahanini lakn maana Mimi sijawah tumia Sana computer au laptop.... Naomba ufafanuzi hapa...kua ram na storage vina utofauti ganii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unaweza kuweka vizuri model ya hiyo machine tuicheck google? Maana nyingi hapa naziona zina RAM ya 12GB, 16GB

*Najua RAM Ipo zaidi ya hiyo Ila naongelea hp envy.

View attachment 1431275
Hiyo mkuu.
Screenshot_20200426-221316.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gambino,
Vitu vya samsung si vizuri perfomance wise ila vina features nyingi compare na Ui nyingi za Android.

Na google anatengeneza vitu mara mbili mbili. Moja vinakuja kama default apps kwenye android na nyengine ni separate kwenye device zake kama pixel

unaweza kuangalia list ya google apps hapa
List of Android apps by Google - Wikipedia

tofauti na ulizotaja nzuri nyengine ambazo naweza recomend ni kama
-google camera ambayo inakupa option mbalimbali za upigaji picha
-snapseed inayotumika ku edit picha
-ar related apps kama hujajaribu bado, Ar ruler, ar sticker etc
 
Kamatia hapohapo kiongozi... Wengine ndio tunajifunza... Sasa kwani hawezi weka slot ya kwanza 16 gb na ya pili 4gb kukamilisha 20gb???

Sent using Jamii Forums mobile app
PC zitatofautiana itakuwa missmacht memory ambapo inaweza mashine isdispaly au ikadisplay lkn ikatoa mistari ya rangi
Common DDR4 ram kwa 4gb ni
ddr4 4gb pc4 17000 2133 mhz
wakati chache ni pc4-21300 2666mhz
Huku ddr4 16gb pc4-21300 2666mhz ndio nyingi
Ingawa za mhz 2133 zipo pia

So inakuwa ujinga ambao hauna maana yoyote kuweka 16gb pc4 21300 na 4gb pc4 21300
Sawa unawaste monaye tu

Ndo mana nikasema Hp hawezi tengeneza PC kubwa hvyo halafu akaweka ram hvyo lbda kama aliupgrade mtumiaji mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
PC zitatofautiana itakuwa missmacht memory ambapo inaweza mashine isdispaly au ikadisplay lkn ikatoa mistari ya rangi
Common DDR4 ram kwa 4gb ni
ddr4 4gb pc4 17000 2133 mhz
wakati chache ni pc4-21300 2666mhz
Huku ddr4 16gb pc4-21300 2666mhz ndio nyingi
Ingawa za mhz 2133 zipo pia

So inakuwa ujinga ambao hauna maana yoyote kuweka 16gb pc4 21300 na 4gb pc4 21300
Sawa unawaste monaye tu

Ndo mana nikasema Hp hawezi tengeneza PC kubwa hvyo halafu akaweka ram hvyo lbda kama aliupgrade mtumiaji mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
hapana aisee ukiweka ram za ukubwa tofauti haina madhara yoyote na ukiweka pia za speed tofauti ile yenye speed kubwa itapunguzwa tu uwezo na kuwa sawa na ya speed ndogo.

nina desktop ya 6gb ram, slot 3 zina ram 1gb+1gb+4gb inapiga mzigo vizuri tu.

computer haidisplay ukiweka ram mbili zenye voltage tofauti, mfano ram moja ni ddr3l na nyengine ni ddr3 hapo ndio haitawaka.

na sababu ambayo unaona laptop zina 12gb, 20gb, 6gb etc ni kwamba siku hizi laptop zinakuja na ram zipo soldered kwenye motherboard mara nyingi 4gb halafu unaachiwa na wewe slot ya ku upgrade, hivyo hio 20gb ina 4gb ram soldered na 16gb ram kwenye slot.
amazon.PNG

unaweza ukaingalia hii laptop ina 4,8,12 na 20gb ram. kwanini haina 16gb? sababu 4gb tayari ipo soldered kwenye motherboard na hakuna 12gb ram inayopatikana kirahisi hivyo hakuna option ya 16gb.
 
Nimetumia google pixel kwa miaka kadhaa hadi mwaka huu nilipohamia Samsung S10+. Nilijaribu kutumia apps za Samsung kwa muda ila eventually nilirudi apps za google, zipo more advanced kuliko za Samsung so far.
 
Back
Top Bottom