Baadhi ya facts kuhusu nyoka

Katika viumbe ambao ungekuwa uwezo wangu ninge waangamiza duniani wasiwepo ni nyoka.
Nyoka hana huruma
Nyonga ni kiumbe kidogo lakini kinatisha binadamu kwa hatari aliyokuwa nayo.
Nikimuona nyoka katika mazingira yangu ili niwe na amani basi nimuuwe.
Nyoka siyo kiumbe cha kawaida kuna siri kubwa sana juu ya kiumbe hiki.
 
Hawa nyoka wapo sana Kilosa,wanaitwa nyoka kamba

Akikung'ata ndio baba jeni baibai hiyo,ndani ya masaa 2 lazima ufe hata ufanyaje.

Sumu yake haina dawa,ila hadi akuume uwe umemuhatarishia sana maisha yake eidha kwa kumkanyaga bahati mbaya au vinginevyo.

Anaweza kujichanganya na kuni ukambeba bila kujua huko porini na akakuangalia tu bila kukushambulia.
 
 
Mshana wewe nakuita mtaalamu wa mafumbo na ikolojia ya visivyo onekana ktk nchi. Somo zuri
 
Mshana wewe nakuita mtaalamu wa mafumbo na ikolojia ya visivyo onekana ktk nchi. Somo zuri
Mkuu hii ya leo ni halisi kabisa... Siku hizi nimeacha maana chatu wa sasa anameza na ana sumu kali
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…