Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 9,468
- 8,281
...baba yangu hakusema kuwa hana kisogo...nimeshuhudia kuwa hanacho....nawe njoo nikukague nione kuwa hunacho kisogo...usiwe mwoga , watanzania sisi ,hisani ndio zetu....hata mie sina