Baada ya vyama vya upinzani kushika dola Zimbabwe, Kenya, Malawi na Zambia, tunajifunza nini?

Upinzani wa kweli utatoka CCM na sio kinyume na hapo. Hawa wapinzani waliopo kwa sasa hawana tofauti na wale wa Zambia ambao wako Ikulu lakini hadi leo wanalaumu chama kilichokuwa madarakani.
Umeshaingia ulingoni badala ya kupiga kazi uonyeshe utofauti, una kalia kwenye quarrel za kulaumu past issue!, Tuwaelewe sana wanasiasa wa kiafrika.
 
Hakuna jipya lililotokea
This is bitter truth, hakutakuwa na lolote jipya hata upinzani utakaposhika dola, sisi waafrika ni waafrika tu, kuweka chama kipya ni sawa na "" kuwaweka pembeni walioshiba na kuingiza wenye njaa na kiu""
#TAFAKARI.
 
Ni kipi physical ambacho nchi husika zimefaidika nacho, binafsi sioni chochote ambacho labda tunaweza kuiga na kukifuata toka katika nchi hizo ambazo zilialika vyama vya upinzani viwaongoze, zaidi ya gasia tu.

Zimbabwe na Zambia vyama vya upinzani vimeshindwa hata kudhibiti kipindupindu mpaka kufikia kuomba msaada wa kupigiwa dawa kwenye vyoo vyao.

Mwenye ushahidi wa chama cha upinzani kilichoingia madarakani na ambacho kikawaletea wananchi wake maendeleo awake hapa ili tujifunze kwa kina ufanisi wa vyama vya upinzani hasa katika Afrika yetu hii.

#Waafrika_ni_waafrika_tu.
#TUMEFANANA.
Nilivyoona umetaja Zimbabwe nikadharau hata sijasoma zaidi.
Unajua kama shule yako ndogo ujiunge JF kwa kujisomea tuu kama gazeti la bure usiandike ndio maana Invisible alikuwa anatuasa kwa slogan ya;
FICHA UPUMBAF WAKO ONYESHA HEKIMA.
Bangladeshi $&#!

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
This is bitter truth, hakutakuwa na lolote jipya hata upinzani utakaposhika dola, sisi waafrika ni waafrika tu, kuweka chama kipya ni sawa na "" kuwaweka pembeni walioshiba na kuingiza wenye njaa na kiu""
#TAFAKARI.
Imagine unampa madaraka mbunge kama Lema ambaye alikimbilia Canada kisa madeni? Ni hatari sana
 
Sorry 4 mis quote Zimbabwe!
Unaandika kwa mihemko ndo maana unashindwa kuandika taarifa sahihi.lengo lako lilikua kutaka kurudisha wapenda mabadiliko nyuma kwakisingizio cha kijinga chakufananisha hali ya nchi zingine.Kama ni hivyo leta na nchi zingine duniani zinazobadilisha uongozi wa vyama na mafanikio yao ili tulinganishe vizuri hoja yako badala yakutuchagulia nchi unazoona zitafevor hoja yako.
 
Huoni vilio Kenya na hali ngumu kila uchwao?
Hali ngumu imesababishwa na waliotangulia kuharibu.ni kama hapa ccm ipo toka uhuru unategemea uharibifu walioufanya utatatuliwa kufumba na kufumbua.it take times kurekebisha hali ya mambo kwasababu kila kitu kipo corupt.Sasa usilazimishe hoja wakati unajua sio rahis kurekebisha uozo.
 
Unaandika kwa mihemko ndo maana unashindwa kuandika taarifa sahihi.lengo lako lilikua kutaka kurudisha wapenda mabadiliko nyuma kwakisingizio cha kijinga chakufananisha hali ya nchi zingine.Kama ni hivyo leta na nchi zingine duniani zinazobadilisha uongozi wa vyama na mafanikio yao ili tulinganishe vizuri hoja yako badala yakutuchagulia nchi unazoona zitafevor hoja yako.
#Jirani ndiye mwalimu mzuri zaidi.
 
#Jirani ndiye mwalimu mzuri zaidi.
Achana na mambo ya jirani kwasababu yako ambayo amekuzidi pia na ata mkikaa madarakani karne nzima hamkaa muwafikie.alafu ni ujinga kujilinganisha na nchi ambazo kuna mambo wametuzidi.
 
Achana na mambo ya jirani kwasababu yako ambayo amekuzidi pia na ata mkikaa madarakani karne nzima hamkaa muwafikie.alafu ni ujinga kujilinganisha na nchi ambazo kuna mambo wametuzidi.
Never undermine your country, Why not Tanzania?, katika ajenda za siri za ccm by 2028,kenya hawataikaribia Tanzania kwa uchumi.
 
Amani ni katika mafanikio ya ccm hapa Tanzania? Kwa lipi wanalofanya hadi kufanya hii nchi kuwa na amani?

Ni maendeo yapi hayo mazuri ambayo yapo Tanzania kwa kuletwa na ccm tokea uhuru hadi leo?

Ni yapi tunajivunia hayo maendeleo kwa kuongozwa na chama kimoja kuanziani katika elimu? Afya? Au kuondoa umasikini ni wapi kwenye maendeo mazuri kushinda wenzetu?
We binafsi umejiletea maendeleo gani. Km huoni maendeleo yaloletwa na CCM pengine mwenzetu we kipofu
 
We binafsi umejiletea maendeleo gani. Km huoni maendeleo yaloletwa na CCM pengine mwenzetu we kipofu
Unakuta pengine mtu ni mvivu fulani, yeye kila njaa ikimuuma kutokana na uvuvi wake anabakia kulalama ccm mbaya Sana, hii yote sababu ya ccm, imeshindwa kutupa ajira wakati ajira ni tatizo la ulimwengu mzima.
 
Nimeingia kuona point za wanaousapoti upinzani ila nimekutana na kichaka cha Zimbabwe. Endapo isingetajwa sijui ingekuaje.
 
Hakuna mpinzani aliye na nia ya dhati ya kukabidhiwa nchi na akawa na watendaji nje ya ccm. Upinzani ni zao la ccm.
 
Ni kipi physical ambacho nchi husika zimefaidika nacho, binafsi sioni chochote ambacho labda tunaweza kuiga na kukifuata toka katika nchi hizo ambazo zilialika vyama vya upinzani viwaongoze, zaidi ya gasia tu.

Zimbabwe na Zambia vyama vya upinzani vimeshindwa hata kudhibiti kipindupindu mpaka kufikia kuomba msaada wa kupigiwa dawa kwenye vyoo vyao.

Mwenye ushahidi wa chama cha upinzani kilichoingia madarakani na ambacho kikawaletea wananchi wake maendeleo awake hapa ili tujifunze kwa kina ufanisi wa vyama vya upinzani hasa katika Afrika yetu hii.

#Waafrika_ni_waafrika_tu.
#TUMEFANANA.
Nchi kama Kenya kama huoni mabadiliko yoyote basi utakuwa hujui historia ya Kenya.
 
Hata kama nguo haibadilishi umbile la mtu, lakini ni bora kuibadilisha na nguo nyingine!
Likewise, kwa Africa hatutegemei kama kuna chama kiwe tawala au upinzani kinachoweza kututoa katika umasikini wetu, lakini ni bora kiingie chama kingine madarakani!
 
Back
Top Bottom