Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 18,659
- 20,994
- Thread starter
- #41
Umeshaingia ulingoni badala ya kupiga kazi uonyeshe utofauti, una kalia kwenye quarrel za kulaumu past issue!, Tuwaelewe sana wanasiasa wa kiafrika.Upinzani wa kweli utatoka CCM na sio kinyume na hapo. Hawa wapinzani waliopo kwa sasa hawana tofauti na wale wa Zambia ambao wako Ikulu lakini hadi leo wanalaumu chama kilichokuwa madarakani.