johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,927
- 141,891
- Thread starter
- #21
Wewe ndio unajidanganya.Usijidanganye, Wengi wao walienda kujiandikisha Ili wapate vitambulisho tu na si kwa ajili ya kupiga kura
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sasa kitambulisho cha mpiga kura kina kazi moja tu.
Kitambulisho cha Uraia ndio kina matumizi mengi!