Baada ya Tulia Ackson kuchukua fomu ya kuomba Uspika, kwanini nafasi ya Naibu Spika nayo isitangazwe kuwa wazi?

Jamaa alikuwa na roho ya kishetani.
Dr Mahiga alifariki,ratiba za mazishi zikiendelea yeye kamteua Madelu nakumuapisha.
 
Jamaa alikuwa na roho ya kishetani.
Dr Mahiga alifariki,ratiba za mazishi zikiendelea yeye kamteua Madelu nakumuapisha.
Philip Mpango alitolewa wodini aongee na waandishi wa habari ili kuthibitisha hana corona. Na cannula yake mkononi mzee aliongea kwa tabu huku anakooa almanusura roho iuache mwili...
 
Tulia hajafanya kosa, kinachofanyika sasa ni mchakato wa ndani ya Chama, hivyo kama Chama chake kitampitisha kuwa mgombea basi atatakiwa kuachia cheo chake, lakini kwa sasa ni mchakato wa ndani wa Chama Chake
 
Ni mnafiki tu mchumia tumbo. Anakimbilia yale Mafao ya Uspika hadi akili zinamtoka.
 
kuna haja ya kuweka pingamizi dhidi ya naibu wa spika au tuache tu mwanaharamu apite
 
Navohisi hii ananafasi kubwa ya kushinda . Ukiona amejitoa kwa ujasiri mkubwa ujue tayari ameshaandaliwa kwa kupewa kiti cha uspika kwa kigezo cha uzoefu. Itunze hii tutakuja kuitumia baadae
kwani ameishajitoa?je na katiba inasemaje kuhusu hilo.mtujuze wabobezi wa sheria.
 
Unatoa wito kama nani, kwani sheria inasemaje? Tujikite hapo
 
Navohisi hii ananafasi kubwa ya kushinda . Ukiona amejitoa kwa ujasiri mkubwa ujue tayari ameshaandaliwa kwa kupewa kiti cha uspika kwa kigezo cha uzoefu. Itunze hii tutakuja kuitumia baadae
Hajaandaliwa Bali uwezo na uzoefu vinamfanya kuwa mgombea mwenye mvuto zaidi ya wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…