baada ya tohara, dushelele limeongezeka ukubwa, ni tatizo?

Gogle

JF-Expert Member
Feb 26, 2013
1,495
867
Hello my MMU mates

Wadau kila nikiliangalia hili paipu langu tangu nikate govi naona limezidi kuwa kubwa.

Hapo Kabla ya tohara lilikuwa si haba hadi baadhi ya totos walikuwa wana-cancel mechi Mara tu wanapoliona katika pre-match preparation, sasa saivi sijui itakuwaje.

Hili ni tatizo?
 
Nilikuuliza kale kakipande {O} kagovi ulikatupa au ulikazika ardhini? sasa Lwako!! yaani ulifanya kienyeji basi utajuta mkuu!!
 
Nilikuuliza kale kakipande {O} kagovi ulikatupa au ulikazika ardhini? sasa Lwako!! yaani ulifanya kienyeji basi utajuta mkuu!!

Kale nilikazika, ... Sikufanya kienyeji, nilifanya pale kwa dr kairuki micocheni
 
kawaida bhana usijali,yangu baada ya tohara mpaka sasa kichwa kimekaa kama mdomo wa kitimoto,si unajua umekaa kama mfuniko vile,kudadadeki wanaenjoy maana inaziba balaa

Asante Mkuu kwa kunitia moyo
 
Naomba niwe mjinga! et kale kaforeskin huwa napeleka wapi ukishang'oa au ndio net tunazopewa maana haiwezekani wang'oe hivi vitu bure.
 
hamna cha limekuwa kubwa ama nini......... ni kwamba wewe govi lilikuwa linakufunika huoni vyema kichwa cha uume wako. sasa baada ya kulikata unaona kichwa kama kitu kigeni machoni mwako. ukishazoea kumuona yuko kichwa wazi huashangaa tena.

mfano mzuri ni huu ukizoea kumwona mdada anasuka nywele tuu basi siku akinyoa uta mwona kabadilika like wise ndivyo ilivyo kwako.

BTW hongera kwa kuwa msafi na kujikinga na ugonjwa wa LAWALAWA
 
Naomba niwe mjinga! et kale kaforeskin huwa napeleka wapi ukishang'oa au ndio net tunazopewa maana haiwezekani wang'oe hivi vitu bure.

Naskia wanatumia kwa waliojeruhiwa kwa moto
 
Back
Top Bottom