Mkuu hili sio suala la kidini hata kidogo. Ndio maana hata TEC wametoa maoni yao kama raia wengine wa kawaida wanaoguswa na utapanyaji wa rasilimali za taifa.Hili la bandari lisingeingiza inshu za udini 2025 tungemla kichwa huyu dada,sisi watanganyika tukisaidiwa na ccm
Hii inshu ina udini ndo maana kuna baadhi ya waislam wamesema wanaunga mkono ubinafisishwaji wa bandari zoteMkuu hili sio sula la kidini hata kidogo. Ndio maana hata TEC wametoa maoni yao kama raia wengine wa kawaida wanaoguswa na utapanyaji wa rasilimali za taifa.
Sasa ujenzi wa misikiti na uuzaji wa rasilimali za taifa kipi kikubwa mkuu? Anyway, tusivunjike moyo mapema. Tuwasubiri kwanza tusikie kutoka vinywani mwao wenyewe.Kumbuka moja ya ahadi za DPW nikujenga misikiti Sasa bakwata watasemaje?
Hao waislamu wachache inawezekna wana njaa zao binafsi kama vile baadhi ya wakristo wanvyounga mkono uuzaji wa bandari. Ngoja tuwasubiri BAKWATA wenyewe tusikie watasemaje mkuu.Hii inshu ina udini ndo maana kuna baadhi ya waislam wamesema wanaunga mkono ubinafisishwaji wa bandari zote
Tusubiri tamko maana seems tayari wakulungwa wa humu wanalazimisha udini ndo uendeshe huu mjadalaBaada ya TEC kuukataa mkataba wa DPW hadharani bila kumumunya maneno, sasa tunasubiri tamko la BAKWATA nao tusikie watasema nini. Ni matumaini yangu kwamba BAKWATA watafuata nyanyo za TEC kwa kuukataa mkataba wa DPW bila kupepesa macho.
Aidha, inawezekana BAKWATA wakaukubali mkataba na endapo watafanya hivyo basi watakuwa na sababu za msingi. Au wanaweza kuukubali na kutoa maoni kuhusu kuboreshwa vipengele vyenye utata, hasa vile vinavyohusu muda wa mkataba na vinavyobagaza mamlaka ya nchi (sovereignty).
Kimsingi ni vigumu kubashiri nini BAKWATA watasema lakini kwa kuwa bado hawajatoa tamko hadharani, ngoja tusubiri tuone watakuja na tamko zito au jepesi kiasi gani. Waswahili wanasema 'usiusemee moyo' au 'usiandikie mate wakati wino upo'. Kwa maana hiyo, hebu tuvute subira kidogo tusubiri kusikia BAKWATA watakuja na tamko la aina gani. Wakati ukifika wataanika kila kitu hadharani. Subra yavuta kheri.
Kujenga misikiti na kugawa tende na jinsi wanavyopenda mteremkoKumbuka moja ya ahadi za DPW nikujenga misikiti Sasa bakwata watasemaje?
Mkuu ni mapema sana kuwahukumu. Kwanini tusivute subira tusikie kutoka kwao wenyewe badala ya kubashiri mambo?Bakwata ilianzishwa Kwa minajili ya kuwadhibiti wavaa vibagarashia .
Hawawezi kuunga mkono la DP W.
Ama wakae kimyaa, au wapendekeze marekebisho ya Mkataba.
Mkuu naungana na wewe...wacha tusiwasemeeMkuu ni mapema sana kuwahukumu. Kwanini tusivute subira tusikie kutoka kwao wenyewe badala ya kubashiri mambo?
Hawazuiliwi na TEC sio mara ya kwanza kutoa matamko yanayokinzana na Serikali! Wamefanya hivo kwa Marais wote waliopita.Baada ya TEC kuukataa mkataba wa DPW hadharani bila kumumunya maneno, sasa tunasubiri tamko la BAKWATA nao tusikie watasema nini. Ni matumaini yangu kwamba BAKWATA watafuata nyanyo za TEC kwa kuukataa mkataba wa DPW bila kupepesa macho.
Aidha, inawezekana BAKWATA wakaukubali mkataba na endapo watafanya hivyo basi watakuwa na sababu za msingi. Au wanaweza kuukubali na kutoa maoni kuhusu kuboreshwa vipengele vyenye utata, hasa vile vinavyohusu muda wa mkataba na vinavyobagaza mamlaka ya nchi (sovereignty).
Kimsingi ni vigumu kubashiri nini BAKWATA watasema lakini kwa kuwa bado hawajatoa tamko hadharani, ngoja tusubiri tuone watakuja na tamko zito au jepesi kiasi gani. Waswahili wanasema 'usiusemee moyo' au 'usiandikie mate wakati wino upo'. Kwa maana hiyo, hebu tuvute subira kidogo tusubiri kusikia BAKWATA watakuja na tamko la aina gani. Wakati ukifika wataanika kila kitu hadharani. Subra yavuta kheri.
IslamophobiaMkuu hili sio sula la kidini hata kidogo. Ndio maana hata TEC wametoa maoni yao kama raia wengine wa kawaida wanaoguswa na utapanyaji wa rasilimali za taifa.