Baada ya Tambo zote za jana kujiita Malikia wa nguvu leo kaamka anaomba hela ya mboga

Baada ya Tambo zote za jana kujiita Malikia wa nguvu leo kaamka anaomba hela ya mboga

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
1,910
Reaction score
5,453
Nachoka sana, wanawake ni pretenders wazuri sana,

Hype lote la jana kujiita malkia wa nguvu na kuhudhuria kikao cha super woman pamoja na kutoa speech, bado aniombe hela ya mboga ?
 
Jana nilikutana na Binti mmoja ziwa limelala kama mlima kitonga, nimemuliza mbona ziwa limelala hivo, cha ajabu ameniambia ety ameyabembeleza mbaka yamelala
 
Back
Top Bottom