Baada ya Sauti ya Wakatoliki kunena kiume jana, kuanzia leo wasianze Kutishwa na Wanasiasa kwani yatawakuta zaidi ya Corona

Huyu padre kitima ni mtata sana.siyo mara ya kwanza kuitunishia misuli serikali.

Alimsumbua sana kikwete ktk wakati wake.

Na huyu ndio aliiponza sana saut.kipindi akiwa muhadhiri pale..
TCU ikawanyima wanafunzi.walipelekewa namba ndogo mno ya first year.
mpaka baadh ya matawi ya saut yakajifuta.

kanisa likae na huyo padre kwa umakini sana ikiwezekana afungwe breki.
 
Mimi ndo maana sina dini kwa kweli, kwa hiyo unataka kusema hili kanisa linataka kuingia war-mode na serikali eti??? Hata yesu alisema acheni wafu wazike wafu wao, ya kaisari wamuachie kaisari.

Kama wanajali sana dini yao waache kufungua ma bar na kumbi za starehe wakaeneze injili! siku hizi makanisa yanamiliki hadi guest houses

Ni ushenzy mtupu, by the way maisha yangu nimekua mkatoliki mpaka pale nilipoona ukatoliki ni ujinga tu! MUNGU HANA DINI WALA YESU HAKULETA DINI
Mkuu ni wapi Kanisa linakatazwa kumiliki guest house,au kwako ilo neno linatasfiri gani?.
 
Kosa ni kumiliki guest house! Hizo ni nyumba za wageni ila kwa watu washenzi kama wewe ndio unaenda kufanya uzinzi. Jiangalie tabia zako kwanza zikoje ndio ulaumu.
Kweli Mkuu mdomo hutapika kilichoko moyoni uzinzi umemjaa hivyo kwake Guest House zipo kwa ajili ya wazinzi na sio wageni katika maeneo zilipo
 
Tusianze kuchakachua hoja kwa fikra finyu..., Ukweli ni Ukweli hata ukisemwa na nani kuanza kuangalia ukweli kwa sababu umetamkwa na mtu wa imani fulani ni kutoka kwenye reli....

After all tukumbushane hizi imani zote huku kwetu zilikuja kwa mashua / meli, kumbuka hata wanasiasa wanapitia mule mule kwenye Imani ili kuwa-brainwash the majority
 
Hakuna serikali yenye nguvu zaidi ya kanisa.Maana hata jeshini kuna waumini wakatoliki linalofuata mamlaka ya Papa, Vatican.Hivyo kwenda kinyume na kanisa ni mwanzo wa kuanza kujitengenezea vikundi vya waasi.
tatizo imani yako ndio inakusumbua, na hakuna utakachoambulia kwenye mjadala huu.
 
ukweli ni kwamba hilo kanisa lina watu makini, wasomi, wanajitambua , na huwa wana msimamo achana na hawa wengine kazi unafki tu na kusifia ujinga
 
Ulichoongea ndo kilichoandikwa ktk biblia kitabu cha ufunuo 13:1.:.. utaona jinsi hili kanisa linavyopata nguvu kutoka kwa joka(dragon) shetani,hili kanisa lina nguvu ya kisiasa na kidini toka enzi za Rome Empire, na ktk miaka ya 1500 rumi ya kidini iliwatesa wakristo wengi sana, waliyokataa mafundisho ya kipagani ndani ya kanisa katoliki,hali iliyopelekea waprotestant kukimbilia bara la America,wakikimbia mateso, kina John Hass, Martin Luther na wengineo waliyokataa mafundisho ya uongo ndani catholic cult, hili kanisa litasimika ibada ya siku ya jumapili kwa watu wote wakristo na waislam,(ngumu kuamini lakini biblia haisemi uongo heri asomaye na afahamu (Mark of the beast) in Catholic Church there is no serious bible studies, but what matters is to safeguard Vatican interests that is to lead the world both political religious,This is biblical prophecy to be fulfilled soon,before second return of Jesus, mark my words,
 
Wewe ni mpumbavu na kama kanisa letu nalo linabariki mada hii pia ni pumbavu. Serikali haina dini. Kwanza hizo dini ujue zililetwa kama ulivyoletwa Ukoloni, Utumwa na Democrasia.
 
Hii nchi ya ajabu sana kila tukijaribu kuiopoa kwenye matope yenyewe ndio inazidi kijizamisha matopeni
 
Kanisa katoliki lilikuwa mstari wa mbele kukemea maovu wakati wa Awamu ya nne ila awamu hii linasuasua limesubiri mpaka tumepoteza roho za watu wengi wakiwemo mapadre na watawa

Tuungane kwa pamoja ili tupambane na huyu adui amaeua bila kuchagua Nduli covid19
 
Ulichoongea ndo kilichoandikwa ktk biblia kitabu cha ufunuo 13:1.:.. utaona jinsi hili kanisa linavyopata nguvu kutoka kwa joka(dragon) shetani,hili kanisa lina nguvu ya kisiasa na kidini toka enzi za Rome Empire, na ktk miaka ya 1500 rumi ya kidini iliwatesa wakristo wengi sana, waliyokataa mafundisho ya kipagani ndani ya kanisa katoliki,hali iliyopelekea waprotestant kukimbilia bara la America,wakikimbia mateso, kina John Hass, Martin Luther na wengineo waliyokataa mafundisho ya uongo ndani catholic cult, hili kanisa litasimika ibada ya siku ya jumapili kwa watu wote wakristo na waislam,(ngumu kuamini lakini biblia haisemi uongo heri asomaye na afahamu (Mark of the beast) in Catholic Church there is no serious bible studies, but what matters is to safeguard Vatican interests that is to lead the world both political religious,This is biblical prophecy to be fulfilled soon,before second return of Jesus, mark my words,
They are not your words ,but ufunuo words.usijipe ujiko omera
 
Back
Top Bottom