ZULUECO
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 587
- 233
MwiziWiki ya pili hii Lumumba mnajadili Tundu Lisu mpaka Rais wenu amemtaja utafikiri yeye ndio anayesaini mikataba.
Hakika Tundu Lisu anawahumiza sana vichwa wengine, na nyie somesheni mitoto yenu ijue sheria.