nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,370
sijui...ila kuna mwanyika wahehe na wapare...hao mwanyika ni watu wa wapi?
hawa nadhani wahehe (kwa sura)
sijui...ila kuna mwanyika wahehe na wapare...hao mwanyika ni watu wa wapi?
watakuwa walipiga hela sana hawa ndugusijui...ila kuna mwanyika wahehe na wapare...
hawa nadhani wahehe (kwa sura)
Kumbe..mzalendo..alijua jamaa yupo njianii
ndiomaana akakazia swala la kukaa kitako Mezaniii..!!!
Mwizii karibu..nchinii..tukutane mezanii
Mwanyika ni wapare. Ila nasikia wapo pia wa Iringa.kumbe wanyakyusa hawa jamaa
Nadhani huu ndio udhaifu mkubwa wa kifikratulionao. We don't accept challenges that's why we said ndioo. Kosa la lisu hajathibitisha kuwa ashawahi omba kusikilizwa na raisi akakataa ndio maana anapiga makelele mtaani. Jambo la msibgi si la kupuuza ni kufanyia kazi. We have a lot to help our president lakini sio hizi propagandaExactly umefikiria Vizuri sana nahisi hata Mtu wa Kwanza Kukutana naye Airport ni Tundu Lissu!
Tukicheza vizuri na politics za mabepari hawatugusi...tukibugi nchi zao zitaungana na haya makampuni kutufanya kama Zimbabwe...
Ila kama wana harakati wa Canada wameshaanza kazi itakuwa ngumu serikali ya Canada kutufanyia kitu mbaya...
Tukicheza vizuri na politics za mabepari hawatugusi...tukibugi nchi zao zitaungana na haya makampuni kutufanya kama Zimbabwe...
Ila kama wana harakati wa Canada wameshaanza kazi itakuwa ngumu serikali ya Canada kutufanyia kitu mbaya...
Zim hawaoni China?Usiogope tuna watu wengi wa kufanya nao biashara. Kuna China ambaye anamkopesha hata Marekani, Russia India etc
nikiwa Toronto Canada,hapo nilikuwa nyumbani kwa Mzee mmoja aliyeishi Mwadui miaka ya 1970's kabla ya kuondoka na kurudi huku.
kwani wakihusika ndio nini...kuna public interest yoyote kwa mawaziri wakuu kutokushtakiwa...?View attachment 523304View attachment 523305
Ndo mjue kuwa hakuna nia ya dhati ya KUTETEA HIZI RASILIMALI
Hapo anamaanisha hakubaliani na ushauri wa UPINZANIkwani wakihusika ndio nini...kuna public interest yoyote kwa mawaziri wakuu kutokushtakiwa...?
Du siasa ni kazi...
nimeelewa ila ame sound vibaya...Hapo anamaanisha hakubaliani na ushauri wa UPINZANI