Baada ya ripoti ya Makinika kutikisa, Executive Chairman wa Barrick atua Tanzania kutuliza mambo

barafu

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
6,726
32,820
image.jpeg
Wakuu nawasalimu

Juzi niliandika uzi huu Vita dhidi ya mabepari wa madini inahitaji umoja, ilimshinda Dr Williamson wa Mwadui na Mwl Nyerere nikiwa Toronto Canada,hapo nilikuwa nyumbani kwa Mzee mmoja aliyeishi Mwadui miaka ya 1970's kabla ya kuondoka na kurudi huku.

Alinipa habari nyingi sana za "fitna" za mabepari wa madini katika dunia hii.Tunapaswa kuungana katika vita hivi,tusimuache Rais peke yake,na wala Rais asiibebe vita hii peke yake.

Leo ninapata ujumbe kuwa "Executive Chairman" wa Barrick Gold Corporation Mr.Thornton John Lawson ametua Tanzania usiku kwa usiku ili kuja kutuliza mambo.Hali ya hapa Canada kwa Barrick sio nzuri,wanaharakati na wanasiasa wameanza kuandaa hoja za kuishutumu Barrick(Acacia) kwa "hujuma" walizoifanyia Tanzania toka mwaka 1998.

Kiukweli sakata hili la Tanzania na Accacia sio dogo tena,ni mgogoro mkubwa sana katika ulimwengu wa biashara na mashauriano ya kigeni.Kama nilivyosema juzi katika uzi ule,hii ni vita,ni vita kati ya Rais yeye binafsi na hawa mabepari wa madini,na ni vita kati ya Tanzania kama nchi na makampuni haya.TUSHIKAMANE.

Hata Rais jana alisema,yeye naye ni binadamu,ana damu na nyama,anajua kuwa anapigana na watu wenye nguvu za kiuchumi duniani,tumuombee na tumpe ushirikiano.

Safari ya Mr.Thornton kuja Tanzania ina maana kubwa sana katika kufikia mwisho wa "mgogoro" huu kati ya sisi kama Taifa na kampuni ya Barrick.Ripoti ya pili ya kamati ya Rais iliishitua sana management ya kampuni ya Accacia na kuamuru Executive Chairman apande ndege na kuja Tanzania kuweka mambo sawa.Hisa za Barrick katika masoko ya hisa makubwa duniani kama LSE,NYSE,Australia nk yameshuka kwa kiwango kikubwa sana.Tahadhari inahitajika mapema kwa kumuona Rais na kuweka mambo sawa.

Wakati tukiendelea kujua huko nyumbani,ni nini haswa Mr.Thornton ataongea au hata kupewa nafasi ya kumuona Rais,basi tujue huyu Mr.Thornton J. Lawson ni nani hasa??

Mr. Thornton was appointed Chairman of Barrick on April 30, 2014. From June 5, 2012 to April 29, 2014, Mr. Thornton was Co-Chairman of Barrick. He is also Non-Executive Chairman of PineBridge Investments, a global asset manager.

He is also a Professor, Director of the Global Leadership Program, and Member of the Advisory Board at the Tsinghua University School of Economics and Management in Beijing.

He is also Co-Chairman of the Board of Trustees of the Brookings Institution in Washington, D.C. He retired in 2003 as President and a member of the board of the Goldman Sachs Group.

Huyu ndio Chief Chairman wa Barrick Gold Corporation,mtikisiko wa ripoti ya Rais toka Ikulu ya Magogoni,umetikisa mpaka ardhi na viunga vya London,New York,Toronto na Paris.Tungoje na tusubiri.
 
Tupo nyuma ya Rais, hili swala limeharibu image ya hii kampuni duniani na imeonekana ni kampuni ya kitapeli kwa kushirikiana na wachache ambao ni mafisadi katika nchi hii, kwa kutumia kigezo cha utapeli Rais angetaifisha migodi yao ili wakome kutapeli nchi zingine.
 
View attachment 523193

Wakuu nawasalimu

Juzi niliandika uzi huu Vita dhidi ya mabepari wa madini inahitaji umoja, ilimshinda Dr Williamson wa Mwadui na Mwl Nyerere nikiwa Toronto Canada,hapo nilikuwa nyumbani kwa Mzee mmoja aliyeishi Mwadui miaka ya 1970's kabla ya kuondoka na kurudi huku.

Alinipa habari nyingi sana za "fitna" za mabepari wa madini katika dunia hii.Tunapaswa kuungana katika vita hivi,tusimuache Rais peke yake,na wala Rais asiibebe vita hii peke yake.

Leo ninapata ujumbe kuwa "Executive Chairman" wa Barrick Gold Corporation Mr.Thornton John Lawson ametua Tanzania usiku kwa usiku ili kuja kutuliza mambo.Hali ya hapa Canada kwa Barrick sio nzuri,wanaharakati na wanasiasa wameanza kuandaa hoja za kuishutumu Barrick(Acacia) kwa "hujuma" walizoifanyia Tanzania toka mwaka 1998.

Kiukweli sakata hili la Tanzania na Accacia sio dogo tena,ni mgogoro mkubwa sana katika ulimwengu wa biashara na mashauriano ya kigeni.Kama nilivyosema juzi katika uzi ule,hii ni vita,ni vita kati ya Rais yeye binafsi na hawa mabepari wa madini,na ni vita kati ya Tanzania kama nchi na makampuni haya.TUSHIKAMANE.

Hata Rais jana alisema,yeye naye ni binadamu,ana damu na nyama,anajua kuwa anapigana na watu wenye nguvu za kiuchumi duniani,tumuombee na tumpe ushirikiano.

Safari ya Mr.Thornton kuja Tanzania ina maana kubwa sana katika kufikia mwisho wa "mgogoro" huu kati ya sisi kama Taifa na kampuni ya Barrick.Ripoti ya pili ya kamati ya Rais iliishitua sana management ya kampuni ya Accacia na kuamuru Executive Chairman apande ndege na kuja Tanzania kuweka mambo sawa.Hisa za Barrick katika masoko ya hisa makubwa duniani kama LSE,NYSE,Australia nk yameshuka kwa kiwango kikubwa sana.Tahadhari inahitajika mapema kwa kumuona Rais na kuweka mambo sawa.

Wakati tukiendelea kujua huko nyumbani,ni nini haswa Mr.Thornton ataongea au hata kupewa nafasi ya kumuona Rais,basi tujue huyu Mr.Thornton J. Lawson ni nani hasa??

Mr. Thornton was appointed Chairman of Barrick on April 30, 2014. From June 5, 2012 to April 29, 2014, Mr. Thornton was Co-Chairman of Barrick. He is also Non-Executive Chairman of PineBridge Investments, a global asset manager.

He is also a Professor, Director of the Global Leadership Program, and Member of the Advisory Board at the Tsinghua University School of Economics and Management in Beijing.

He is also Co-Chairman of the Board of Trustees of the Brookings Institution in Washington, D.C. He retired in 2003 as President and a member of the board of the Goldman Sachs Group.

Huyu ndio Chief Chairman wa Barrick Gold Corporation,mtikisiko wa ripoti ya Rais toka Ikulu ya Magogoni,umetikisa mpaka ardhi na viunga vya London,New York,Toronto na Paris.Tungoje na tusubiri.
Mwambie Dr Slaa wakati sisi tunapiga mwizi huku nyumbani na yeye atuwakilishe vema huko Canada haaa...hahaaaa........!
 
Yeye huyo bosi wa Acacia aje tu ila mkumbushe kuwa anatakiwa ajiandae "Kulimia meno".

Maana tuliisha sema kuwa "....akichukua fomu , kuna watu watalimia meno".
Imefika mwisho na tumempata Sokoine wa kizazi hiki cha sasa. Hongera JPM hongera kwa tume zote 2.
 
Hiv kama wamegomea ripoti ..kwamba ni ya uongo ..nini kinaweza fanyika kutetea haki yetu Tanzania
 
aaaaha tupia na kapicha sasa akiwa anapanda ndege kuja bongo maana maneno pekee hayana mvuto
 
Barafu uko vi
Wakuu nawasalimu

Juzi niliandika uzi huu Vita dhidi ya mabepari wa madini inahitaji umoja, ilimshinda Dr Williamson wa Mwadui na Mwl Nyerere nikiwa Toronto Canada,hapo nilikuwa nyumbani kwa Mzee mmoja aliyeishi Mwadui miaka ya 1970's kabla ya kuondoka na kurudi huku.

Alinipa habari nyingi sana za "fitna" za mabepari wa madini katika dunia hii.Tunapaswa kuungana katika vita hivi,tusimuache Rais peke yake,na wala Rais asiibebe vita hii peke yake.

Leo ninapata ujumbe kuwa "Executive Chairman" wa Barrick Gold Corporation Mr.Thornton John Lawson ametua Tanzania usiku kwa usiku ili kuja kutuliza mambo.Hali ya hapa Canada kwa Barrick sio nzuri,wanaharakati na wanasiasa wameanza kuandaa hoja za kuishutumu Barrick(Acacia) kwa "hujuma" walizoifanyia Tanzania toka mwaka 1998.

Kiukweli sakata hili la Tanzania na Accacia sio dogo tena,ni mgogoro mkubwa sana katika ulimwengu wa biashara na mashauriano ya kigeni.Kama nilivyosema juzi katika uzi ule,hii ni vita,ni vita kati ya Rais yeye binafsi na hawa mabepari wa madini,na ni vita kati ya Tanzania kama nchi na makampuni haya.TUSHIKAMANE.

Hata Rais jana alisema,yeye naye ni binadamu,ana damu na nyama,anajua kuwa anapigana na watu wenye nguvu za kiuchumi duniani,tumuombee na tumpe ushirikiano.

Safari ya Mr.Thornton kuja Tanzania ina maana kubwa sana katika kufikia mwisho wa "mgogoro" huu kati ya sisi kama Taifa na kampuni ya Barrick.Ripoti ya pili ya kamati ya Rais iliishitua sana management ya kampuni ya Accacia na kuamuru Executive Chairman apande ndege na kuja Tanzania kuweka mambo sawa.Hisa za Barrick katika masoko ya hisa makubwa duniani kama LSE,NYSE,Australia nk yameshuka kwa kiwango kikubwa sana.Tahadhari inahitajika mapema kwa kumuona Rais na kuweka mambo sawa.

Wakati tukiendelea kujua huko nyumbani,ni nini haswa Mr.Thornton ataongea au hata kupewa nafasi ya kumuona Rais,basi tujue huyu Mr.Thornton J. Lawson ni nani hasa??

Mr. Thornton was appointed Chairman of Barrick on April 30, 2014. From June 5, 2012 to April 29, 2014, Mr. Thornton was Co-Chairman of Barrick. He is also Non-Executive Chairman of PineBridge Investments, a global asset manager.

He is also a Professor, Director of the Global Leadership Program, and Member of the Advisory Board at the Tsinghua University School of Economics and Management in Beijing.

He is also Co-Chairman of the Board of Trustees of the Brookings Institution in Washington, D.C. He retired in 2003 as President and a member of the board of the Goldman Sachs Group.

Huyu ndio Chief Chairman wa Barrick Gold Corporation,mtikisiko wa ripoti ya Rais toka Ikulu ya Magogoni,umetikisa mpaka ardhi na viunga vya London,New York,Toronto na Paris.Tungoje na tusubiri.
Barafu uko vizuri. Niliipenda sana post yako ya juzi hata hii ya leo. Endelea kutupatia updates kuhusu suala hili hayz yale yatakakayojiri kuhusu mambo ambayo Thornton atakayoyafanya akiwa hapa
 
Back
Top Bottom