Baada ya RC Makonda kutoa saa 24 kwa Wabunge walioko Dar: Jeshi la Polisi lawataka Wabunge walioko Dar kuripoti Kituoni

Ngoja tuone nani ataenda. Wabunge wengi wa CCM na mawaziri wapo mjini wakizunguka tu. Polisi hawana mamlaka ya kumsummon mtu kwa matamko tu ya kisiasa as long as mtu hajavunja sheria yoyote.

Mtu wa kudeal na Wabunge ni Speaker na tayari keshatoa maagizo ya kwamba hawa watu warudishe fedha za posho walizolipwa kabla hawajaamua kuji-isolate
 
Influenza
Mtakeni kwanza Jiwe aripoti kituo chake cha kazi cha Magogoni au Chamwino, kabla ya kuwatishia nyau hao wabunge wa Chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…