PreGE2025 Baada ya Press ya leo ya Gwajima, nani atamjibu?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
361,165
Reaction score
831,906
Kumjibu kwa maana ya Ku balance story

Kujibu kwa maana ya kukanusha alichokiongea Kumjibu kwa fact

Ikumbukwe hajataja mtu kwenye hoja kuu bali kaongelea taasisi kwa sehemu kubwa.. Katumia mifano hai na ndio hapo awataje watu kwa majina

Ninajua kwa hakika kuna watu binafsi ama vikundi hawatakaa kimya.. Watajizuia watashindwa.. Lakini pia wanaweza kushinikizwa waseme

Kusema/kujibu sio tatizo.. Tatizo watajibu nini!? Video imeenda viral na sijui itakuwa na uhai kiasi gani?
Tuwatambue wachache kitaasisi

Taasisi ya chawa

Taasisi ya wajukuu
Taasisi ya wafalme nknk

Ikumbukwe Gwajima ameweka wazi kuwa akijibiwa atarudi tena na tena kupangua hoja
NB: press hii imekuja siku chache kabla ya mkutano mkuu.. Ukiweza unganisha dots..

Alamsiki Tanganyika💗✌🏿
 
Katoa mawazo yake kama mtanzania na mawazo yake yaheshimiwe na yasichukuliwe kama ni chuki kwa mtu Bali yachukuliwe kama ni sehemu ya kuanza kurekebisha sehemu zote zilizoshindwa kuwajibika....

Dr Gwajima amekemea hata matendo ambayo sio tija kwa taifa na wananchi kwa ujumla...ajibiwe kwa hoja
 
Kumjibu kwa maana ya Ku balance story

Kujibu kwa maana ya kukanusha alichokiongea Kumjibu kwa fact

Ikumbukwe hajataja mtu kwenye hoja kuu bali kaongelea taasisi kwa sehemu kubwa.. Katumia mifano hai na ndio hapo awataje watu kwa majina

Ninajua kwa hakika kuna watu binafsi ama vikundi hawatakaa kimya.. Watajizuia watashindwa.. Lakini pia wanaweza kushinikizwa waseme

Kusema/kujibu sio tatizo.. Tatizo watajibu nini!? Video imeenda viral na sijui itakuwa na uhai kiasi gani?
Tuwatambue wachache kitaasisi

Taasisi ya chawa

Taasisi ya wajukuu
Taasisi ya wafalme nknk

Ikumbukwe Gwajima ameweka wazi kuwa akijibiwa atarudi tena na tena kupangua hoja
NB: press hii imekuja siku chache kabla ya mkutano mkuu.. Ukiweza unganisha dots..

Alamsiki Tanganyika💗✌🏿
CPA MAKALA na STEVE WASSIRA WATAJIBU

UMOJA WA VIJANA uvCCM ELIMU YA JUU WATAJIBU
 
Kumjibu kwa maana ya Ku balance story

Kujibu kwa maana ya kukanusha alichokiongea Kumjibu kwa fact

Ikumbukwe hajataja mtu kwenye hoja kuu bali kaongelea taasisi kwa sehemu kubwa.. Katumia mifano hai na ndio hapo awataje watu kwa majina

Ninajua kwa hakika kuna watu binafsi ama vikundi hawatakaa kimya.. Watajizuia watashindwa.. Lakini pia wanaweza kushinikizwa waseme

Kusema/kujibu sio tatizo.. Tatizo watajibu nini!? Video imeenda viral na sijui itakuwa na uhai kiasi gani?
Tuwatambue wachache kitaasisi

Taasisi ya chawa

Taasisi ya wajukuu
Taasisi ya wafalme nknk

Ikumbukwe Gwajima ameweka wazi kuwa akijibiwa atarudi tena na tena kupangua hoja
NB: press hii imekuja siku chache kabla ya mkutano mkuu.. Ukiweza unganisha dots..

Alamsiki Tanganyika💗✌🏿
Atajibiwa na STEPHEN WASSIRA aka Tyson
 
Au Mama atawatuma wale jamaa waliomvamia Father Kitima ili wakamshambulie Gwajima? Halafu ajifanye ameshtushwa na tukio.
 
Kumjibu kwa maana ya Ku balance story

Kujibu kwa maana ya kukanusha alichokiongea Kumjibu kwa fact

Ikumbukwe hajataja mtu kwenye hoja kuu bali kaongelea taasisi kwa sehemu kubwa.. Katumia mifano hai na ndio hapo awataje watu kwa majina

Ninajua kwa hakika kuna watu binafsi ama vikundi hawatakaa kimya.. Watajizuia watashindwa.. Lakini pia wanaweza kushinikizwa waseme

Kusema/kujibu sio tatizo.. Tatizo watajibu nini!? Video imeenda viral na sijui itakuwa na uhai kiasi gani?
Tuwatambue wachache kitaasisi

Taasisi ya chawa

Taasisi ya wajukuu
Taasisi ya wafalme nknk

Ikumbukwe Gwajima ameweka wazi kuwa akijibiwa atarudi tena na tena kupangua hoja
NB: press hii imekuja siku chache kabla ya mkutano mkuu.. Ukiweza unganisha dots..

Alamsiki Tanganyika💗✌🏿
Gwajima amekemea maovu. Sizani kama kuna Mtanzania anaweza kutetea Maovu.
Alli Kibao ametekwa ameuawa, Mdude na Soka hawajulikani walipo Lisu yupo Gerezani, Bandar imeuzwa, Mapori yanauzwa, Watumishi wa umma wanakopa Mabilioni kwa mshahara wa 8Milion.
Leo atokee mtu kujibu nini sasa!
 
Back
Top Bottom