Wewe unadhani kwanini siko zote hakuwahi mshitaki azikombe hela km wengine marekani?Ila kapenda za Clinton?Kwa vile ni watu wa kutia huruma sana.Waongo na njaa tuu zinawasumbua.Wale wanawake mmoja alisema,,Trump aliingiza mkono kwenye sket akamshika vagina.Je hilo siyo tusi wala kashfa?
wengi wa washabiki wa mama ni wapuuzi sana. Wabunge wanawake eti wamelia.Kesho utawasikia wakilia eti hawataki ushoga wala biashara ya watoto wao kutolewa mimba na dawa za uzazi wa mpango,sijui na vilainishi. Hiyo chama ya mama ndio kazi yao kupromote na kutoa hela kibao kwa akina umati,marie stopes etc.Ukiwauliza mashabiki wa Clinton kwanini wanamuhofu Trump watakwambia pamoja na mengine jamaa ni dictator
jibu point acha umeaumbea tabia za kishoga hizo,huwezi kupambana kwenye nyuzi kama hizi kula konaJe mwaka 2020 bado Chadema itamsimamisha populist?.....
chakushangaza zaidi mama Mghwira hata kura yao kati yao hakupatawengi wa washabiki wa mama ni wapuuzi sana. Wabunge wanawake eti wamelia.Kesho utawasikia wakilia eti hawataki ushoga wala biashara ya watoto wao kutolewa mimba na dawa za uzazi wa mpango,sijui na vilainishi. Hiyo chama ya mama ndio kazi yao kupromote na kutoa hela kibao kwa akina umati,marie stopes etc.
Niliwaambia wanawake linapokuja swala la mwanaume, wanaweza angalia sura, wanaweza angalia issue binafsi za ngono km upo safi hakuna haja ya kuwa gentleman km wanavyojidai kutaka. They will never be free.Ndio Clinton kafanya kazi kubwa ya uchonganishi kaambulia zero,akina mama wamechukua dume la mbegu.chakushangaza zaidi mama Mghwira hata kura yao kati yao hakupata
Ndio hivyo,ila utashangaa hata viongozi wa dini zote,chuki zao na ubaguzi umefunika akili zao.Hawaoni ushoga na mengine ni mbaya kuliko kulilia kwenda kwao.jibu point acha umeaumbea tabia za kishoga hizo,huwezi kupambana kwenye nyuzi kama hizi kula kona
Wakati nyinyi mnahongwa kanga na kofia , wamarekani hawanunuliki .Wale wanawake mmoja alisema,,Trump aliingiza mkono kwenye sket akamshika vagina.Je hilo siyo tusi wala kashfa?
Wachumia tumbo hawaruhusiwi kwenye uzi huu .Uzi wa kinafiki sana huu
Mkuu umempa kinachomstahili.Hao ndio km hao wapuuzi clinton alikuwa akiwaita wapiga kura.Sasa wanajionyesha jinsi gani wanaendeshwa na ujinga wa kigaidi.Walijisahau wakadhani wameshakuwa wengi kiasi cha kuifanya marekani km nchi ya mashoga, km somalia, afghanistan, au tandale.Hao wazamiaji wengine ni wabongo waliosoma kwa hela ya serikali,sasa wanalilia nchi za wengine waziharibu km walivyoharibu walizotoka.Wachumia tumbo hawaruhusiwi kwenye uzi huu .
Mkuu umempa kinachomstahili.Hao ndio km hao wapuuzi clinton alikuwa akiwaita wapiga kura.Sasa wanajionyesha jinsi gani wanaendeshwa na ujinga wa kigaidi.Walijisahau wakadhani wameshakuwa wengi kiasi cha kuifanya marekani km nchi ya mashoga, km somalia, afghanistan, au tandale.Hao wazamiaji wengine ni wabongo waliosoma kwa hela ya serikali,sasa wanalilia nchi za wengine waziharibu km walivyoharibu walizotoka.
Tayari watu wa karibu sana katika kambbi ya mama,wameshaanza kumsogelea mzee wa kazi Trump. Wanajibaraguza sijui km ataikuza amerika watashiriana nae ila km atakuwa sijui nini na ni hawataacha mashambulia. wengine wanakiri mama hakuwa na uhasilia mbele ya watu masikini,hakuwa na muunganiko wowote na watu zaidi ya matajiri, na wadhamini ktk nchi zinazoongoza kudhamini ugaidi. Speaker aliyemkimbia Trump dakika za mwisho hadi Trump akasema HUYU MWOGA NA WENZIE HAWAJUI KUSHINDA,ATAWAONYESHA JINSI YA KUSHINDA, tayari republicans wanasema apigwe chini mwoga mkuu.Mama katoa hotuba ya kukubali kushindwa