Nampurukano
JF-Expert Member
- Jul 17, 2015
- 2,071
- 2,715
Umewatusi wasukuma na wahaya.... bora ungenitusi mm mwenyewe maana mimi sio msukuma wala muhayaMisukuma mijinga sana aiseee naturally.. Hata aiende shule kiasi gani, ujinga wao ni natural like wahaya.. Washamba sana sana..
Pamoja na yote hayo hata kama ingekuwa Tanga au Singida inaongoza hata kwakulazimisha maendeleo lakini kuna vitu ambavyo kila Jamii imejaliwa na Mungu.Tatizo watu wa Arusha ndo wanatoa povu sana.... ila in reality
1. Dsm
2. Mwanza
3. Arusha
4.
5.
6. Mbeya
7. Tanga
8. Dodoma
9.......nk
Na wakitoka Mwanza lazima wakapige picha kwenye Daraja la Manzese ya ukumbusho Kama kafika DarHicho kivuko mlicho zindua hapo jana sisi hicho kivuko tunacho pale manzese miaka zaidi ya 25 iliyopita
4 ni Chato na 5 ni KolomijeTatizo watu wa Arusha ndo wanatoa povu sana.... ila in reality
1. Dsm
2. Mwanza
3. Arusha
4.
5.
6. Mbeya
7. Tanga
8. Dodoma
9.......nk
Mkuu, Mwanza hapajawahi kuwa nyuma kihivyo kama mnavyo fikiri nyinyi watu wa mikoa mingine.Na wakitoka Mwanza lazima wakapige picha kwenye Daraja la Manzese ya ukumbusho Kama kafika Dar
Usitake kufananisha Mwanza na Dar Tafuta mkoa mwingine ata Rais wako anafahamMkuu, Mwanza hapajawahi kuwa nyuma kihivyo kama mnavyo fikiri nyinyi watu wa mikoa mingine.
Ukisema daraja la kuvukia barabara hilo mnalolijadiri humu si la kwanza hapa mjini, tayari lilikuwapo jingine eneo la mabatini alafu kitu muhimu ambacho hamkijui ni Mwanza kuwa na vitu vyote ambavyo mmezoea kuviona Dar, tofauti iliyopo ni idadi tu na pengine ukubwa lakini vyote vipo kasoro balozi za nchi za nje tu.
Huijui mwanza. Sasa mwanza imesambaa na kuanza kuimeza Magu na Misungwi.Mwanza ile ya miamba na mawe ije isambae na kuja kufanana na kuivuka Dar inayojipanga kuimeza Bagamoyo, Mkuranga na Kisarawe ? Labda muanze harakati za kutuhamisha sote, vinginevyo endeleeni kusubiri mpaka MASIHI atakaporejea
Duh! ukisikia akili za kishamba ndo kama hizi za kwako,hua sipendi kumdharau mtu lakini wewe nimekudharau vibaya.waTanzania pendeni nchi yenu.ukiona mema yanatokea ktk aridhi ya Tanzania yafurahie hayo.sasa wewe unaleta ubishi wa wapi kuzuli wapi kubaya,yaani yale maneno ya kiswahili ya wewe una nini cha kunizidi ndo umeyakamatilia,kama si utoto ni ushambaWakati mwanza mkizindua daraja la kuvuka barabara na kufurahia dar yamejaa na sasa fly overs zinajengwa.
Mwanza haiwezi kulingana na dar ni sawa tairi la nyuma la gari kukimbiza tairi la mbele
Hapa sio ushamba wala nini, unataka nikupe moyo yani watanzania mnapenda kupeana moyo hata kwa vitu ambavyo viko wazi kabisa.Duh! ukisikia akili za kishamba ndo kama hizi za kwako,hua sipendi kumdharau mtu lakini wewe nimekudharau vibaya.waTanzania pendeni nchi yenu.ukiona mema yanatokea ktk aridhi ya Tanzania yafurahie hayo.sasa wewe unaleta ubishi wa wapi kuzuli wapi kubaya,yaani yale maneno ya kiswahili ya wewe una nini cha kunizidi ndo umeyakamatilia,kama si utoto ni ushamba
Duh nlikuwag nasema shinyanga hatuna fly over, Asante kwa taarifa mkuumkumbushe kuna vingine UBUNGO, KIMARA NA BUGURUNI!Mwanza walikuwa wanazidia na Shinyanga ambao wao wanacho kivuko pale railway station!!!
Kweli siijui, na sina shida kuijua. Maana Dar yanitosha na naamini kasi ya kuimarika kwa jiji hili haifanani na mji mwingine wowote Tanzania. Hata hivyo hakuna kosa kwenu kuendelea kuota ndotoHuijui mwanza. Sasa mwanza imesambaa na kuanza kuimeza Magu na Misungwi.
Fly over Mwanza hakuna uwanja Mkubwa wa ndege Mwanza hakuna barabara za mwendo kasi Mwanza hakuna tena hakuna kabisa kabisaMkuu, Mwanza hapajawahi kuwa nyuma kihivyo kama mnavyo fikiri nyinyi watu wa mikoa mingine.
Ukisema daraja la kuvukia barabara hilo mnalolijadiri humu si la kwanza hapa mjini, tayari lilikuwapo jingine eneo la mabatini alafu kitu muhimu ambacho hamkijui ni Mwanza kuwa na vitu vyote ambavyo mmezoea kuviona Dar, tofauti iliyopo ni idadi tu na pengine ukubwa lakini vyote vipo kasoro balozi za nchi za nje tu.
Aliyeleta mada ameileta kufanya ushindani?au hujaelewa alichosema?wewe ni mburula..pita hivi[emoji117]Hapa sio ushamba wala nini, unataka nikupe moyo yani watanzania mnapenda kupeana moyo hata kwa vitu ambavyo viko wazi kabisa.
Ukweli ni kwamba mwanza haiwez kulingana dar yani hilo liko wazo kama dish lako juu ya bati.
Hata uwekezaji wa kimiundombinu unaonyesha hilo, mwanza ikijengwa barabara moja, dar zinajengwa tatu.
We ndo mshamba bado unaishi kwenye era ya kupeana moyo kwa mambo yaliyo wazi kabisa.
Kumwambia mtu ukweli ndiyo kupenda nchi yako, siyo kumpa moyo huo ni unafiki na wewe utakuwa mnafiki tu.
Kweli akili yako haina akili.Aliyeleta mada ameileta kufanya ushindani?au hujaelewa alichosema?wewe ni mburula..pita hivi[emoji117]
Unamanisha Arusha ama Moshi??Dar haina mpinzani huwezi compare commercial city na ukabila city