Baada ya miaka michache, Dar es Salaam vs Mwanza

Ngoja tupate na jiji lingine kubwa kama ilivyo DSM.
 
Dar is here to stay ndugu!! Chochote kinachojengwa mikoani ni ili kiwe connected na Dsm.
 
Naona wanao ishambulia mwanza ni machalii ya chuga wala sio watu wa dar

Watu wa arusha wamefula sana hapa maana wameona arusha haifui dafu haina vigezo vya kulinganishwa na dar

Ndo maana hapa wanatoa povu kinoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…