Jitu jeusi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 1,722
- 2,401
Kisa baba yao kawaahidi nyumba zao hazitabomolewa.WASUKUMA bwana[emoji28][emoji28]
Umesahau kuweka point moja kubwa zaidi... Rais wa Mwanza ambaye anaishi Dar amewaahidi watu wake nyumba zao hazitabomolewa na atalijenga jiji hilo liwe la kibiashara kwa kodi za watu wa KimaraHabarini
Ngoja niende kwenye maono yangu.....
Kwakuwa serikali inahamia Dodoma, inamaana kuwa nguvu ya jiji pendwa DSM inapungua kwa maana shughuli, ofisi, wizara zinahamia Dodoma.
Pia endapo suala la kugenga reli ya kisasa Dsm- mwanza inamaana huduma nyingi sana zitkuwa zinapatikana nwanza kama dsm
Huku wakati jiji la Dsm likipungukiwa nguvu, jiji la mwanza linazidi kukua kwa kasi.... maana ndo litakuwa hub au jiji la kibiashara East Africa.
Nchi jirani wanaotegemea bandari za Tanzania watachukulia mwanza bidhaa zao kwa kusafirishwa na reli ya kisasa from dsm.
Pia uwanza wa ndege wa kisasa unajengwa ksa ushirikiano na nchi ya oman... hivyo basi watu tuine hizo fursa ambazo zipo mwanza and tuzithmie effectively
Baada ya muda tutakuwa na majiji makuu 2 yenye ushindani ya kibiashara
Nawasirisha
Aisee umenichekesha sana... eti raisi wa mwanza anaishi dsmUmesahau kuweka point moja kubwa zaidi... Rais wa Mwanza ambaye anaishi Dar amewaahidi watu wake nyumba zao hazitabomolewa na atalijenga jiji hilo liwe la kibiashara kwa kodi za watu wa Kimara
Hata bashite anaishi darDar Itaendelea kutingisha mpk Mwisho wa Tanzania. Wasukuma mkipata hela gia ya kwanza Dar. Hatuna roho mbaya wana Dar es salaam.
Sijui ile mifugo wataihamishia wapi. Maana Rais wa Mwanza aliwekea mifugo traffic lights pale Chato.Bado sanaa rock city kuifikia DSM
Hahaha mkuu Rais wa Mwanza na mwanae wote wanaishi Dar. Dar tamu asikuambie mtuAisee umenichekesha sana... eti raisi wa mwanza anaishi dsm
Hahahahahaha
Umeona kaz Sasa karibia nusu na robo ya viongoz makazi yao DarHata bashite anaishi dar
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
labda safari hii ataijengea fly-over ipate kutembea juu..Sijui ile mifugo wataihamishia wapi. Maana Rais wa Mwanza aliwekea mifugo traffic lights pale Chato.
Yeah ng'ombe wa baba wasigongwe na gari shurti wapite juu. Hivi ile international airport yetu bombardier zimeshaanza kuwashusha wasukuma?labda safari hii ataijengea fly-over ipate kutembea juu..
Nakazia hapa.... ni hivi mwanza kuifikia dar es salaam ni mpaka yesu arudi.....Bado sanaa rock city kuifikia DSM
bombardier zipi hizo chief unaongeleaa..!!!Yeah ng'ombe wa baba wasigongwe na gari shurti wapite juu. Hivi ile international airport yetu bombardier zimeshaanza kuwashusha wasukuma?