Tamasha la Alex Msama pale Leaders Club si Tamasha la Pasaka , ni Tamasha la kisiasa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
116,476
215,295
Alex Msama anatangaza kila mahali nchini Tanzania kwamba anaanda Tamasha la Pasaka , ambapo inadaiwa Wasanii mbalimbali wa nyimbo za injili watatumbuiza , Hakuishia hapo ameendelea kudai kwamba Mtume na Nabii Boniface Mwamposa atatoa neno .

Kilichonishangaza ni Maelezo kwamba , pamoja na kwamba ni Tamasha la Pasaka lakini pia ni sherehe ya miaka miwili ya Urais wa Samia Suluhu Hassan , na kwamba Mgeni Rasmi wa Tamasha hilo ni Nape Nnauye , ambaye ni Waziri wa Habari

Labda kwa kumbukumbu hasa kwa wale ambao hawamfahamu Alex Msama , ni hivi , huyu Alex Msama ni Kada mtiifu wa ccm anayejificha kwenye matamasha ya Injili , ambapo amekuwa akitumia Taasisi inayoitwa Msama Promotion , aliwahi kuendesha vipindi vya kwaya za Jumapili Clouds FM , huku lengo lake kuu likiwa kujitangaza yeye binafsi , Msama ni mwanaccm aliyejaribu kugombea karibu kila kitu kwenye chama hicho na mara zote ameangukia pua , alifanya hivyo akidhani matamasha ya Kwaya yatambeba .

Kitendo cha kuchanganya Tamasha la Pasaka na sherehe za miaka miwili ya Urais wa Samia Suluhu Hassan , hakieleweki , na ni ishara kwamba huyu ametumia Pasaka kutapeli watu huku lengo lake kuu likiwa ni kusherehekea Miaka miwili ya Samia Madarakani , ili labda huko mbele akumbukwe kwenye teuzi , Lakini kwanini Msama atumie Pasaka kwa ajili ya sherehe za urais wa Samia , mbona angeweza tu kuandaa tamasha la sherehe za miaka miwili ya Samia na angekubaliwa tu ? kingine ni hiki , Nape Nnauye hatujui hata kama aliwahi kupata Kipaimara , sasa mtu kama huyu anawezaje kuwa mgeni rasmi kwenye Tamasha la kidini tena la shughuli nyeti kama ya Pasaka ?

Nachukua nafasi hii kumkumbusha Nabii Mwamposa kuwa Makini na kutumika kwenye matamasha haya ya kisiasa yaliyovikwa majina ya kidini , yeye angebaki Tanganyika Parkers kuendelea kufungua watu , hawa akina Msama watampoteza .

Naomba kuwasilisha .
 
Watumishi wa Mungu wakiwamo mashekhe, manabii, mapadre, mitume, wachungaji wako chini ya falme, marais, mawaziri, malkia

Ni kazi yao kutafsiri maono ya viongozi wa nchi na kutii sheria bila kumkufuru Mungu

Sioni shida ya Alex Msama kwenye hili
 
Alex Msama anatangaza kila mahali nchini Tanzania kwamba anaanda Tamasha la Pasaka , ambapo inadaiwa Wasanii mbalimbali wa nyimbo za injili watatumbuiza , Hakuishia hapo ameendelea kudai kwamba Mtumena Nabii Boniface Mwamposa atatoa neno .

Kilichonishangaza ni Maelezo kwamba pamoja na kwamba ni Tamasha la Pasaka lakini pia ni sherehe ya miaka miwili ya Urais wa Samia Suluhu Hassan , na kwamba Mgeni Rasmi wa Tamasha hilo ni Nape Nnauye , ambaye ni Waziri wa Habari

Labda kwa kumbukumbu hasa kwa wale ambao hawamfahamu Alex Msama , ni hivi , huyu Alex Msama ni Kada mtiifu wa ccm anayejificha kwenye matamasha ya Injili ambapo amekuwa akitumia Taasisi inayoitwa Msama Promotion , aliwahi kuendesha vipindi vya kwaya za Jumapili Clouds FM , huku lengo lake kuu likiwa kujitangaza yeye binafsi , Msama ni mwanaccm aliyejaribu kugombea karibu kila kitu kwenye chama hicho na mara zote ameangukia pua , alifanya hivyo akidhani matamasha ya Kwaya yatambeba .

Kitendo cha kuchanganya Tamasha la Pasaka na sherehe za miaka miwili ya Urais wa Samia Suluhu Hassan , hakieleweki na ishara kwamba huyu ametumia Pasaka kutapeli watu huku lengo lake kuu ni kusherehekea Miaka miwili ya Samia Madarakani ili labda huko mbele akumbukwe , kingine ni hiki Nape Nnauye hatujui kama aliwahi kupata Kipaimara anawezaje kuwa mgeni rasmi kwenye Tamasha la kidini ?

Nachukua nafasi hii kumkumbusha Nabii Mwamposa kuwa Makini na kutumika kwenye matamasha haya ya kisiasa yaliyovikwa majina ya kidini , yeye angebaki Tanganyika Parkers kuendelea kufungua watu , hawa akina Msama watampoteza .

Naomba kuwasilisha .
Hapo ndio utang'amua kama mkristo anajua nini kuhusu Kwaresma au/ na Pasaka!
 
Watumishi wa Mungu wakiwamo mashekhe, manabii, mapadre, mitume, wachungaji wako chini ya falme, marais, mawaziri, malkia

Ni kazi yao kutafsiri maono ya viongozi wa nchi na kutii sheria bila kumkufuru Mungu

Sioni shida ya Alex Msama kwenye hili
Chagua moja kumtumikia kaisari ama Mungu wa Israel. Hkauna utawala Mungu ulio chini ya tawala za dunia. Mapadre wachungaji mitume na manabii Kiongozi wao ni Roho mtakatifu na kimsingi maraisi na wafalme wanatakiwa kuwatii wao na kuomba msaada kwao na ikibidi kujipendekeza kwao ila sio viongozi wa Dini wapelekeshwe na hao watawala walio chini ya Miungu.
 
alex msama alipitia kwenye Moto mkali sana kipindi cha JPM Sasa amerudi mjini kwa kasi huenda antafuta kibali kwa watawala ili angalau ale makombo chini ya meza za wakuu
 
Chagua moja kumtumikia kaisari ama Mungu wa Israel. Hkauna utawala Mungu ulio chini ya tawala za dunia. Mapadre wachungaji mitume na manabii Kiongozi wao ni Roho mtakatifu na kimsingi maraisi na wafalme wanatakiwa kuwatii wao na kuomba msaada kwao na ikibidi kujipendekeza kwao ila sio viongozi wa Dini wapelekeshwe na hao watawala walio chini ya Miungu.

Kwani kuna anayepelekeshwa hapo🙄🙄
Mbona kila mtu anacheza nafasi yake

Wanaoumia ni walio nje ya nafasi zao
 
Nanukuu,
kingine ni hiki Nape Nnauye hatujui kama aliwahi kupata Kipaimara anawezaje kuwa mgeni rasmi kwenye Tamasha la kidini.

Kumbe kama mtu hajapata kipa Imara haruusiwi kuwa mgeni rasmi kwenye tamasha la kidini.
 
Nanukuu,
kingine ni hiki Nape Nnauye hatujui kama aliwahi kupata Kipaimara anawezaje kuwa mgeni rasmi kwenye Tamasha la kidini
Kumbe kama mtu hajapata kipa Imara haruusiwi kuwa mgeni rasmi kwenye tamasha la kidini.

Sio kipaimara kinaenda pale
Anayeenda pale awe waziri Nape au Rais Samia anaenda kama mtawala wa nchi
 
Kwani kuna anayepelekeshwa hapo🙄🙄
Mbona kila mtu anacheza nafasi yake

Wanaoumia ni walio nje ya nafasi zao
sasa kama tunasherehekea kumbukumbu ya kuteswa,kufa,kuzikwa na kufufuka kwa mwokozi wewe unabadilisha ajenda unaingiza siasa ili watu wasisikilize Ujumbe muhimu wa siku hiyo unageuza lengo lako ni nini? kuzima sikukuu ya pasaka hasa lengo lake kuu la UKombozi? na kuingiza ngonjera za kumsifu mwanadamu mwenzako? acheni kufanya dini ya kikristo ionekane kama ya wachhumia tumbo

ndio maana Yesu alivuruga hekalu baada ya kugeuzwa soko, na sisi tunageuza jukwaa la siasa.
 
Kwani wao si wamealikwa
Tena ndio wakapate ujumbe wa kujitoa kama Yesu kulikomboa taifa😁😁
 
Alex Msama anatangaza kila mahali nchini Tanzania kwamba anaanda Tamasha la Pasaka , ambapo inadaiwa Wasanii mbalimbali wa nyimbo za injili watatumbuiza , Hakuishia hapo ameendelea kudai kwamba Mtume na Nabii Boniface Mwamposa atatoa neno .

Kilichonishangaza ni Maelezo kwamba , pamoja na kwamba ni Tamasha la Pasaka lakini pia ni sherehe ya miaka miwili ya Urais wa Samia Suluhu Hassan , na kwamba Mgeni Rasmi wa Tamasha hilo ni Nape Nnauye , ambaye ni Waziri wa Habari

Labda kwa kumbukumbu hasa kwa wale ambao hawamfahamu Alex Msama , ni hivi , huyu Alex Msama ni Kada mtiifu wa ccm anayejificha kwenye matamasha ya Injili , ambapo amekuwa akitumia Taasisi inayoitwa Msama Promotion , aliwahi kuendesha vipindi vya kwaya za Jumapili Clouds FM , huku lengo lake kuu likiwa kujitangaza yeye binafsi , Msama ni mwanaccm aliyejaribu kugombea karibu kila kitu kwenye chama hicho na mara zote ameangukia pua , alifanya hivyo akidhani matamasha ya Kwaya yatambeba .

Kitendo cha kuchanganya Tamasha la Pasaka na sherehe za miaka miwili ya Urais wa Samia Suluhu Hassan , hakieleweki , na ni ishara kwamba huyu ametumia Pasaka kutapeli watu huku lengo lake kuu likiwa ni kusherehekea Miaka miwili ya Samia Madarakani , ili labda huko mbele akumbukwe kwenye teuzi , Lakini kwanini Msama atumie Pasaka kwa ajili ya sherehe za urais wa Samia , mbona angeweza tu kuandaa tamasha la sherehe za miaka miwili ya Samia na angekubaliwa tu ? kingine ni hiki , Nape Nnauye hatujui hata kama aliwahi kupata Kipaimara , sasa mtu kama huyu anawezaje kuwa mgeni rasmi kwenye Tamasha la kidini tena la shughuli nyeti kama ya Pasaka ?

Nachukua nafasi hii kumkumbusha Nabii Mwamposa kuwa Makini na kutumika kwenye matamasha haya ya kisiasa yaliyovikwa majina ya kidini , yeye angebaki Tanganyika Parkers kuendelea kufungua watu , hawa akina Msama watampoteza .

Naomba kuwasilisha .
Usanii mtupu, mpaka kwenye mambo ya imani.
 
Kitendo cha kuchanganya Tamasha la Pasaka na sherehe za miaka miwili ya Urais wa Samia Suluhu Hassan , hakieleweki , na ni ishara kwamba huyu ametumia Pasaka kutapeli watu huku lengo lake kuu likiwa ni kusherehekea Miaka miwili ya Samia Madarakani , ili labda huko mbele akumbukwe kwenye teuzi

Yani linajipendekeza mpaka aibu...pumbavu kweli
 
Alex Msama anatangaza kila mahali nchini Tanzania kwamba anaanda Tamasha la Pasaka , ambapo inadaiwa Wasanii mbalimbali wa nyimbo za injili watatumbuiza , Hakuishia hapo ameendelea kudai kwamba Mtume na Nabii Boniface Mwamposa atatoa neno .

Kilichonishangaza ni Maelezo kwamba , pamoja na kwamba ni Tamasha la Pasaka lakini pia ni sherehe ya miaka miwili ya Urais wa Samia Suluhu Hassan , na kwamba Mgeni Rasmi wa Tamasha hilo ni Nape Nnauye , ambaye ni Waziri wa Habari

Labda kwa kumbukumbu hasa kwa wale ambao hawamfahamu Alex Msama , ni hivi , huyu Alex Msama ni Kada mtiifu wa ccm anayejificha kwenye matamasha ya Injili , ambapo amekuwa akitumia Taasisi inayoitwa Msama Promotion , aliwahi kuendesha vipindi vya kwaya za Jumapili Clouds FM , huku lengo lake kuu likiwa kujitangaza yeye binafsi , Msama ni mwanaccm aliyejaribu kugombea karibu kila kitu kwenye chama hicho na mara zote ameangukia pua , alifanya hivyo akidhani matamasha ya Kwaya yatambeba .

Kitendo cha kuchanganya Tamasha la Pasaka na sherehe za miaka miwili ya Urais wa Samia Suluhu Hassan , hakieleweki , na ni ishara kwamba huyu ametumia Pasaka kutapeli watu huku lengo lake kuu likiwa ni kusherehekea Miaka miwili ya Samia Madarakani , ili labda huko mbele akumbukwe kwenye teuzi , Lakini kwanini Msama atumie Pasaka kwa ajili ya sherehe za urais wa Samia , mbona angeweza tu kuandaa tamasha la sherehe za miaka miwili ya Samia na angekubaliwa tu ? kingine ni hiki , Nape Nnauye hatujui hata kama aliwahi kupata Kipaimara , sasa mtu kama huyu anawezaje kuwa mgeni rasmi kwenye Tamasha la kidini tena la shughuli nyeti kama ya Pasaka ?

Nachukua nafasi hii kumkumbusha Nabii Mwamposa kuwa Makini na kutumika kwenye matamasha haya ya kisiasa yaliyovikwa majina ya kidini , yeye angebaki Tanganyika Parkers kuendelea kufungua watu , hawa akina Msama watampoteza .

Naomba kuwasilisha .
Lkn si Kuna tamasha lingine ambalo lilikuwa limeandaliwa kbl ya Tamasha la akina Msama? Tamasha la Christina Shusho ,Rose Mhando na wengine litakuwepo Mlimani City na litaonyweshwa na Wasafi Tv, hivyo wale ambao hawatapenda kwenda la Msama nendeni Hilo.

Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
 
Watumishi wa Mungu wakiwamo mashekhe, manabii, mapadre, mitume, wachungaji wako chini ya falme, marais, mawaziri, malkia

Ni kazi yao kutafsiri maono ya viongozi wa nchi na kutii sheria bila kumkufuru Mungu

Sioni shida ya Alex Msama kwenye hili
Pamoja na kukubaliana na hoja ila msama ni mwizi wa jasho la wasanii wa injili hapa nchini

USSR
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom