Baada ya miaka 55, darasa bado liko hivi? Inasikitisha kwa kweli

PAGAN

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
11,230
17,810
14568223_10153976071851769_103414520873315486_n.jpg
 
Give a medal to headmaster/headmistress for his IQ. Shule zingine watoto wanakaa chini wakati nje wana matanuli ya matofali wamefugia mijusi.
 
Hivi haya madawati ninayoyaona kwenye tv kila siku hua anapewa nani?
 
Gharama za kutengeneza zege na matofali ni kubwa kuliko gharama ZA madawati ya mbao...
 
Huko bila shaka sio TZ,maana TZ kungekuwa hivo tungejivuna.Ona TZ.
imageuploadedbyjamiiforums1363425030-755063-jpg.87105
Kwa kuangalia mazingira, haya ni maeneo fulani ya mkoa wa Morogoro tu!!
Elimu bora na hamasa ya watoto kusoma inatoka wapi kama si kuwachosha na kuwakatisha tamaa ya kuendelea na masomo
 
Back
Top Bottom