baada ya Miaka 50 ya uhuru kijijini kwetu

baada ya Miaka 50 ya uhuru kijijini kwetu

Bulding

Member
Joined
May 9, 2011
Posts
8
Reaction score
1
Pd holder ---nil
Masters------ 03
Degree-------12
Form vi------79
form iv --------175
Std vi ---------18,006
non................46,899
Nipe tadhimini wakuu wa kazi !kwenu je vp hali ya shule ?
 
kwetu wameongezeka ma hausaigelo wanaorudishwa wakiwa na ujauzito, inasikitisha sana.
 
Colonial legacy,pyramidal in shape
 
1970-2000 watu walifika vyuo vikuu

2000++watu wanaishia shule za kata

1970-1900s tulikuwa na meli mbili

2000++tumebakiwa na meli moja kuukuu

1970-1900s watoto wa miaka 12 walilelewa na mama zao

2000++watoto wa miaka 12 wanalea watoto wao wa kuwazaa wenyewe
 
This is not only shameful, but also disappointing! The lost 50 years!

Imagine, a person who is 50 years, has done nothing is his/her life!
 
Ajira No,
Viwanda No (Waliuza vyote na hela wakaweka mifukoni mwao):glasses-nerdy:
 
Back
Top Bottom