Baada ya Mbunge wa Muhambwe kufariki. Je, CHADEMA washiriki Uchaguzi Mdogo wa Jimbo hilo au wapotezee?

Yaani marehemu hata hajasafirishwa ila mshaanza kuulizia uchaguzi wa marudio!

Subirini basi hata mipango ya mazishi
 
Yaani,muandishi huna hata uchungu na kusindikiza wafiwa walioondokewa na mpendwa wao unawaza chadema tu?

Kuwa na utu kidogo,angalau ingepita hata wiki ndo ungeleta bandiko,utafikiri ulikua unamuombea afe?

Huo sio utanzania,utu kwanza,nafasi hizo zipo tu,so long Jim Reeves aliwahi kuimba,(this world is not our home,we are Justin pass through)
 
Magufuli ampachike yeyote anayemtaka kama alovyofanya kwa hawa waliopo, safari hii aache zile hadaa za kura za maoni, n.k.
 
oct. 28, 2020 mlikua na imani na tume?
Wakati ule hakuna aliyedhani kuwa Magufuli, Mahera, na wakurugenzi walikuwa ni wenye roho ya ibilisi kwa kiwango kilichoshuhudiwa.

Kwa sasa kwa sababu kila mmoja anajulikana kiwango chake cha ushetani, ni vema kujitenga kabisa na uchafu unaoitwa uchaguzi..
 
Atashasta Nditiye(R.I.P) aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Muhambwe huko Mkoani Kigoma amefariki dunia leo

Unadhani CHADEMA wanapaswa kushiriki uchaguzi mdogo utakaoitishwa kwenye jimbo hilo au hawatakiwi kushiriki?

Maoni yako ni yapi?

Chini ya utawala wa Magufuli hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi katika box la kura. Itakuwa ni kupoteza muda kushiriki uchaguzi ambao rais anaamua nani atangazwe mshindi, tena kukiwa na mauaji ya raia na wengine kuachwa na vilema na kubambikiwa kesi.
 
Kamuulize Halima Mdee a.k.a Delila wa Tanzania aliyepeleka majina ya Covid 19 tume ya uchaguzi na yakapokelewa . CCM watashiriki wakiongozwa na Zitto na Lipumba .
 
Atashasta Nditiye(R.I.P) aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Muhambwe huko Mkoani Kigoma amefariki dunia leo

Unadhani CHADEMA wanapaswa kushiriki uchaguzi mdogo utakaoitishwa kwenye jimbo hilo au hawatakiwi kushiriki?

Maoni yako ni yapi?
MaCCM hovyo sana, mnawaza vyeo tu, mshamsahau mdhulmati mwenzenu hata Mazishi bado. Kweli nyie mmeumbiwa motoni milele..
 
Binafsi sioni umuhimu wa Chadema kushiriki uchaguzi huo wa marudio hasa ukizingatia sababu zilizowafanya washindwe uchaguzi Mkuu wa 2020 bado hazijapatiwa ufumbuzi.

NB:
Haya ni maoni yangu binafsi, Chama chenyewe kinaweza kuwa na maamuzi yao watakayoona yanafaa.
 
Wasishiriki ikiw mbunge amefariki na pneumonia ila ikasemwa ajali huo uchaguz si utakuwa uleule wa mwaka jana.
Wewe lini mbunge alipata ajali hata isisemwe,wapi alipopatia ajali ,saa ngap ?
 
Yaani,muandishi huna hata uchungu na kusindikiza wafiwa walioondokewa na mpendwa wao unawaza chadema tu?
Kuwa na utu kidogo,angalau ingepita hata wiki ndo ungeleta bandiko,utafikiri ulikua unamuombea afe?
Huo sio utanzania,utu kwanza,nafasi hizo zipo tu,so long Jim Reeves aliwahi kuimba,(this world is not our home,we are Justin pass through)

Watu wameuwawa wakati wa uchaguzi ili ccm ikae madarakani, ndio itakuwa huyu? Ama utu unauzungumzia katika angle ipi?
 
Atashasta Nditiye(R.I.P) aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Muhambwe huko Mkoani Kigoma amefariki dunia leo

Unadhani CHADEMA wanapaswa kushiriki uchaguzi mdogo utakaoitishwa kwenye jimbo hilo au hawatakiwi kushiriki?

Maoni yako ni yapi?
Wacha uchawi
 
Back
Top Bottom