Baada ya Mbunge wa Muhambwe kufariki. Je, CHADEMA washiriki Uchaguzi Mdogo wa Jimbo hilo au wapotezee?

Unashiriki uchaguzi ambao unajua unasimamiwa na Tume FAKE na HARAMU ili iweje? 😳

Uchaguzi mkuu wa October 2020, mlishiriki mkiwa mnajua kuna tume feki au halali!?????
 
Atashasta Nditiye(R.I.P) aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Muhambwe huko Mkoani Kigoma amefariki dunia leo

Unadhani CHADEMA wanapaswa kushiriki uchaguzi mdogo utakaoitishwa kwenye jimbo hilo au hawatakiwi kushiriki?

Maoni yako ni yapi?
kwani mkishiriki ccm, cuf, act wazalendo na nccr hamutoshi hadi iwepo chadema?
 
Atashasta Nditiye(R.I.P) aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Muhambwe huko Mkoani Kigoma amefariki dunia leo

Unadhani CHADEMA wanapaswa kushiriki uchaguzi mdogo utakaoitishwa kwenye jimbo hilo au hawatakiwi kushiriki?

Maoni yako ni yapi?
Tume ni ile ile hakuna haja ya kupoteza Muda na Watu kuuliwa au kukamatwa
 
Back
Top Bottom