Baada ya mapenzi

Baada ya mapenzi

Heheehhe umenikumbusha nilivyochambwaaa jamaniiii,nipo kabayaaa mimiii hata kuniangalia huweziii
Nawe uko kabaya kumbe?

Maana hata mimi ni mbaya...nina lisura libaya kweli
 
Wanasemaga.."mapenzi ni upofu"

Chongo utaaita kengeza...

Kiuhalisia ukimpenda mtu kwa dhati na ukakolea haswa huwezi kuona kasoro yeyote kwake...

Hata ukishuhudia 'baya'lolote kwake akili yako itakuambia kuwa ni zuri.

Do not underestimate "the power"of love.
Upofu?

Macho hayadanganyi hata siku moja kama mpenzi wako ni mbaya utamuona tu mbaya siku zote sema unafiki ndiyo unakuta umechukua nafasi kubwa.

Pia mara nyingi hutokea kwa wale watu ambao sehemu kubwa ya maamuzi yao hutumia moyo na siyo ubongo.

Unakuta wanasingizia hivyo (mapenzi ni upofu) ili kuridhisha tu moyo wake.

Hakika huo ni udhaifu mkubwa sana ukiona umeanza kutumia huo msemo kuwa mapenzi ni upofu.
 
Sijui bana....

Afu yanapenda kunionea sana

Kuna huu mkorogo wa asali na ndimu ama limao.

Chukua asali, ikamulia hayo matunda halafu kunywa uone.

Mi ndo dawa yangu hiyo siku hizi.

Na ilivyo tamu sasa..hata kama siumwi huwa nakunywa tu.

Hebu jaribu uone kama utapata afueni.
 
Upofu?

Macho hayadanganyi hata siku moja kama mpenzi wako ni mbaya utamuona tu mbaya siku zote sema unafiki ndiyo unakuta umechukua nafasi kubwa.

Pia mara nyingi hutokea kwa wale watu ambao sehemu kubwa ya maamuzi yao hutumia moyo na siyo ubongo.

Unakuta wanasingizia hivyo (mapenzi ni upofu) ili kuridhisha tu moyo wake.

Hakika huo ni udhaifu mkubwa sana ukiona umeanza kutumia huo msemo kuwa mapenzi ni upofu.
Inawezekana hujawahi kupenda,huwa tu unatamani basi,unagonga unaondoka.
 
Inawezekana hujawahi kupenda,huwa tu unatamani basi,unagonga unaondoka.
Kutamani ndiyo mpango mzima.

Kupendana badae sana.

Katika maisha yangu hiyo ndiyo silaha yangu katika mapenzi.

Hakika hauwezi umia hata siku moja.

Lakini wale wanajifanya wanajua kupenda ndiyo kila siku kulia lia tu oooh kanifanya hivi mara vile.

Lakini ukiwa umetamani hata ukiachwa inakuwa simple sana kusahau.
 
Back
Top Bottom