Asali ninayo hapa... Sasa ngoja nikatafute hiyo limao. Ile ndimu ya unga inafaa?Kuna huu mkorogo wa asali na ndimu ama limao.
Chukua asali, ikamulia hayo matunda halafu kunywa uone.
Mi ndo dawa yangu hiyo siku hizi.
Na ilivyo tamu sasa..hata kama siumwi huwa nakunywa tu.
Hebu jaribu uone kama utapata afueni.
Asali ninayo hapa... Sasa ngoja nikatafute hiyo limao. Ile ndimu ya unga inafaa?
Kiranga ana taarifa?
Najuuuuta kukuita, Valentina endelea mwenyeweMamie kwani, ghani, mwingi wa habari
Gonganisha pua bila hata tahayari
Ua kwa ubua jua pasi tafakari
Nami nasugua ka mfuasi Rastafari
Nini Sepetu, wala sitataka zali
Bora sijaapa timilifu wa dahari
Mi ni Kiranga, si kichanga, Papa wa sayari
Kaa tayari, kutekenywa kwa kabali
Fisadi guberi kanyang'anyisha johari
Nge wa ngebe, navamia, Raid on Entebbe
Cha Ngeda Mjeda wa habari kebekebe
Mama njoo nikubebe, nikubembeleze kwa debe Shabani Dede
Segeju nibane kende, anifukuze ka Mchina fukuza pembe
Nalewesha kama tembe, trekta katapila katika kazi ya tembe
Pasua kama wembe, uchawi Bagamoyo usiokote ovyo embe
Ntawapoteza kama Membe, sogelea Segerea kwerea kwerea sembe
Shombo sijazoea, Kiranga wa Upanga charanga Ananga Ranga
Wwacha nikupe Kisanga, watoto Mlimani wanijua Kipanga
Nshavunja kitanda, kwa kupeleka uwani watoto wa Kitanga
Nawapiga ka Kibanga, fukuza mpaka vunja kibanda
Mtama kwa watoto, wenye heshima matawi mpaka nyokonyoko
Nawaharibia soko, navuruga gauni la mtoko kunyunyuzia utoko
Mswahili nisosahili, sundusi jiwe sichelewi kughairi
Kimwaga bahili, siruhusi kiwe kisichostahili
Shairi ka hariri, suna yakujia kwa njia ya mashairi
Dogo rudi katahiri, kisha surupwete weka lisiharibu dhakari
Mamie kwani, ghani, mbio za magari ka Parisi Dakari
Mamie kwani, ghani, mbio za ngangari kwa virusi hatari

Poa ngoja nifanye hivo.... Yanakaribia kunilaza,naenda anjifu ya7 sasaSina uhakika kama hiyo ya unga inafaa au la ila nadhani ndimu au limao unalokamua mwenyewe ni bora zaidi.
Ha ha haaaa sio kwa kumkomesha hukuMamie kwani, ghani, mwingi wa habari
Gonganisha pua bila hata tahayari
Ua kwa ubua jua pasi tafakari
Nami nasugua ka mfuasi Rastafari
Nini Sepetu, wala sitataka zali
Bora sijaapa timilifu wa dahari
Mi ni Kiranga, si kichanga, Papa wa sayari
Kaa tayari, kutekenywa kwa kabali
Fisadi guberi kanyang'anyisha johari
Nge wa ngebe, navamia, Raid on Entebbe
Cha Ngeda Mjeda wa habari kebekebe
Mama njoo nikubebe, nikubembeleze kwa debe, Shabani Dede
Segeju nibane kende, anifukuze ka Mchina fukuza pembe
Nalewesha kama tembe, trekta katapila katika kazi ya jembe
Pasua kama wembe, uchawi Bagamoyo usiokote ovyo embe
Ntawapoteza kama Membe, sogelea Segerea kwerea kwerea sembe
Shombo sijazoea, Kiranga wa Upanga charanga Ananga Ranga
Wwacha nikupe Kisanga, watoto Mlimani wanijua Kipanga
Nshavunja kitanda, kwa kupeleka uwani watoto wa Kitanga
Nawapiga ka Kibanga, fukuza mpaka vunja kibanda
Mtama kwa watoto, wenye heshima matawi mpaka nyokonyoko
Nawaharibia soko, navuruga gauni la mtoko kunyunyuzia utoko
Mswahili nisosahili, sundusi jiwe sichelewi kughairi
Kimwaga bahili, siruhusi kiwe kisichostahili
Shairi ka hariri, suna yakujia kwa njia ya mashairi
Dogo rudi katahiri, kisha surupwete weka lisiharibu dhakari
Mamie kwani, ghani, mbio za magari ka Parisi Dakari
Mamie kwani, ghani, mbio za ngangari kwa virusi hatari
Yani na ndo ukome... My gentleman hajaribiwagi
Kwakweli, sio mtu wa mchezo mchezo, kiranga chote komooo kama jina lake.Yani na ndo ukome... My gentleman hajaribiwagi
Mie x wangu anajua hua namsifia hadi leo maana alikua na kila sifa ya kua mwanaume ila mungu hakupanga tuwe .
Yaaaaap aliefuata mumeUna ex mmoja tu?
Yaaaaap aliefuata mume
Nilikufundisha mimiKuna huu mkorogo wa asali na ndimu ama limao.
Chukua asali, ikamulia hayo matunda halafu kunywa uone.
Mi ndo dawa yangu hiyo siku hizi.
Na ilivyo tamu sasa..hata kama siumwi huwa nakunywa tu.
Hebu jaribu uone kama utapata afueni.
Nilikufundisha mimi
Nishakoma mbona,ila ndio usemege asanteeHivi ilikuwa ni wewe eh?
Ngoja aje yule aone unasema eti ulinifundisha wewe.
Utakoma.

Nishakoma mbona,ila ndio usemege asantee![]()