Baada ya mapenzi

Baada ya mapenzi

Love is a serious mental disease'!!!!....take that
No kidding.

Today I'm all that and a bag of chips but tomorrow I'm a worthless ugly piece of shit.

Makes me think for the most part love and hypocrisy are not mutually exclusive.
 
Wanasemaga.."mapenzi ni upofu"

Chongo utaaita kengeza...

Kiuhalisia ukimpenda mtu kwa dhati na ukakolea haswa huwezi kuona kasoro yeyote kwake...

Hata ukishuhudia 'baya'lolote kwake akili yako itakuambia kuwa ni zuri.

Do not underestimate "the power"of love.
Nakuunga mkono na mguu sweetheart
 
Maneno yote ni ya ukweli kwa nyakati zote hizo mbili (hapa nachukulia mtu mwenye utu, mkweli na asiyekuwa na hila moyoni mwake. Vinginevyo kusema mtu ana kibamia au bwawa wakati unajua kabisa hana ni kuidanganya nafsi).

Wakati penzi limekolea nia ya mtu inakuwa ni moja tu ya kumpenda mwenzi wake, hivyo hata yale mabaya atayachukulia positively ili tu penzi linoge, lisonge.

Sasa mkishaachana, hususan kama mmoja kaachwa, basi kuyaibua yale mapungufu yake inasaidia sana kumsahau na kuponya roho, kama ukiwa unayawaza repeatedly (wataalam wamethibitisha hilo).

Rei mambo?

Vipi na kwa wale ambao huwa wanaachana na kurudiana?

Tuseme baada ya kuachana mmoja au wote wanaanza kukandyana.

Huyu anasema mwenzie mbaya mwenzie naye anasema mwenzake ananuka, na kadhalika na kadhalika.

Halafu baada ya muda wanarudiana tena. Sasa hapo vipi?

Yote ni ya kweli kulingana na muktadha wa wakati uliopo?

Kwamba wakiwa penzini kila mtu ni bonge la hendsamu, byutiful, n.k.

Ila wakitosana hendsamu anageuka anakuwa mbaya na byutiful anakuwa na sura kama chura.

Wakirudiana tena yule alokuwa mbaya anageuka kuwa hendsamu na mwenye sura kama chura mara anakuwa beauty queen.

Niaje hapo mama? [I'm your son, right?]

Hivyo mimi naona ni kama survival strategy.

Yup...I think so too. Sometimes people say bad things about other people in order to ease whatever difficulties they are going through.
 
Mimi nilimuongelea maneno mabaya yule mwanamke kwa sababu niliona kaniacha yeye lakini kila siku ananichimba chimba ili ajue kama najuta kuachana naye!!

Nikamuambia naweza kuwa na binadamu yeyote yule wa kike kama.na.yeye yuko tayari kuwa na mimi
 
Rei mambo?

Vipi na kwa wale ambao huwa wanaachana na kurudiana?

Tuseme baada ya kuachana mmoja au wote wanaanza kukandyana.

Huyu anasema mwenzie mbaya mwenzie naye anasema mwenzake ananuka, na kadhalika na kadhalika.

Halafu baada ya muda wanarudiana tena. Sasa hapo vipi?

Yote ni ya kweli kulingana na muktadha wa wakati uliopo?

Kwamba wakiwa penzini kila mtu ni bonge la hendsamu, byutiful, n.k.

Ila wakitosana hendsamu anageuka anakuwa mbaya na byutiful anakuwa na sura kama chura.

Wakirudiana tena yule alokuwa mbaya anageuka kuwa hendsamu na mwenye sura kama chura mara anakuwa beauty queen.

Niaje hapo mama? [I'm your son, right?]

Yup...I think so too. Sometimes people say bad things about other people in order to easy whatever difficulties they are going through.

Mambo poa....

Kwa navyofahamu, kuna wanaoachwa na huwaongelea vibaya wenzao na kuongezea chumvi ili kuwachafua huku wao wakijifariji.

Wengine wanaachwa lakini mabaya wanayoyasema dhidi ya wenza wao wa zamani yanakuwa ni kweli tupu.

Wanaoacha mara nyingi watasema ukweli kwa nini wameamua kuwapiga chini wenza wao. Wanakuwa genuine.

Mkirudiana maana yake ni kuwa mmesameheana na mko tayari kila mmoja kurekebisha mapungufu yake.

Lakini kumbuka sababu za kurudiana zinaweza pia zisiwe genuine. Mnaweza kurudiana kinafki tu.

Sijui kama nimejibu

Oh... And yes u are my son.
 
Mimi nilimuongelea maneno mabaya yule mwanamke kwa sababu niliona kaniacha yeye lakini kila siku ananichimba chimba ili ajue kama najuta kuachana naye!!

Nikamuambia naweza kuwa na binadamu yeyote yule wa kike kama.na.yeye yuko tayari kuwa na mimi
Hahaaa!! Ndio yuleeeee au mwingine?
 
Sija wahi kuumba mtu.Na mtu hakujiumba/hakuchagua alivo.
Ndio maana sija wahi kumwongelea vibaya nilie mwacha/alie niacha.
 
na hayo anayotamka mkishakua mmemwagana,ndo ukweli halisi,hata demu wako mkikosana,maneno anayotamka baada ya kukosana,ndo hari halisi
 
That's my girl! I am of the same type...umuongelee vibaya aliyekuwa mpenzi wako ili iweje!? Ni ujinga tu kwa maoni yangu ambao hauna manufaa yoyote yale.
Watu mlipendana, mkashare mengi ya nini kuanza kukashifiana eti kisa mmeachana. Sipendi kwakweli.
 
KICHWA KAMA TOFALI.
kwa sauti ya "KOMANDO"
 
Back
Top Bottom