Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,332
- 176,114
Nikiikumbuka ile story nacheka, eti unatamani hata uwape watu lifti uwaadithie machungu yako yapungue.Hahahahaa... atoto, huyu ni mwingine, yule alikaza hakutaka kuniangalia angalia usoni
Nikiikumbuka ile story nacheka, eti unatamani hata uwape watu lifti uwaadithie machungu yako yapungue.Hahahahaa... atoto, huyu ni mwingine, yule alikaza hakutaka kuniangalia angalia usoni
kwanini tukibreak up uongee sheet kuhusu mie na wanawake wote mko hivyoMweeeh! Shikamoo kiinglish.
Sasa hapa wanawake wamefanya nini tena?
why after break up you abuse your men?Mweeeh! Shikamoo kiinglish.
Sasa hapa wanawake wamefanya nini tena?
Wanawake wote!!kwanini tukibreak up uongee sheet kuhusu mie na wanawake wote mko hivyo
Ukinizingua tu naitumiaUtaitumia kwa Msukuma wako?
Men hatuna tatzo kiroho safiWanawake wote!!
Na wanaume je?
Kama umeolewa tayari kaa nae mbali kidogoInategemea ntu na ntu.
Mie kuna ntu nilimwacha lakini siachi kumsifia jamaa ni handsome kweli na yuko vizuri kwa game lakini kitu kidogo tu tulishindwana na ni rafiki yangu bado tunajadili Mambo kadhaa ya maisha ingawa kila mmoja alisha move on

Ahahaha!KICHWA KAMA TOFALI.
kwa sauti ya "KOMANDO"
Shikamoo....Nadhani mapenzi a unafiki go hand in hand.
Thubutuuuu!! Tena kashfa yenu acha kabisa.Men hatuna tatzo kiroho safi
nikuulize ? mpenzi wako wa zamani unawasiliana naye?Thubutuuuu!! Tena kashafa yenu acha kabisa.
Marahaba kipenzi!!Shikamoo....
Ndio ninawasiliana nae.nikuulize ? mpenzi wako wa zamani unawasiliana naye?
okey !Ndio ninawasiliana nae.