FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 92,883
- 109,212
Umeonaaa eee?! Kwa mantiki hiyo hakuna mwenye haki hata mmoja wa kuhukumu isipokuwa Mwenyezi Mungu peke yake..
Hukumu zote zimewekwa wazi, ukidhulumu utafanywa hivi, ukitenda mema utafanywa hivi. Tunazisoma hukumu na adhabu zinazongoja wenye kudhulumu huko.
Si wote tuliojaaliwa uwezo wa kuhukumu hapa duniani, wako waliojaaliwa uwezo huo duniani, na wao ndio watahukumiwa kwanza huko kwenye hukumu ya mwisho ikiwa hukuhukumiwa duniani. Hapakwepeki huko.
Yeye alipewa uwezo wa kuhukumu hapa duniani, badala yake akadhulumu. Hapo sasa.