Baada ya Mandela kukutna na Nyerere.(PICHA MPYA)

DJ Baraka

Senior Member
Joined
May 15, 2013
Posts
177
Reaction score
82
1525598_624675247580403_237872871_n.jpg
 
Unajua you are my mom and I really respect you! ila linapokuja suala la kuhukumu, tumwachie Mungu.
Siwezi kusema Nyerere alikua mtakatifu au la, hilo ni suala la mtu binafsi na muumba wake, wote tunakabiliwa na hukumu kutegemea na tuliishi hivi hapa duniani.
 
Asikudanganye mtu, vitabu viko wazi kabisa, mwenye kudhulumu "hazidishiwi ila hasara".
 
Huko kote sikatai, nilichosema ni kwamba sisi sote tutasimama mbele ya haki na kila mtu atalipwa kutokana na matendo yake.
Tatizo langu mimi na wewe ni pale unapotaka kuwa hakimu wakati tunaambiwa anaefanya hiyo hukumu ni Mungu peke yake na si vinginevyo.

Hata hivyo ulikua tu ni mtazamo wangu ambao sio lazima uukubali. Thanks
 
Leo unaamini msalaba????

Hujui kuwa msalaba ni kifaa cha kuwatundikia wenye dhambi? hata kwenye Qur'an kimetajwa, kuna hukumu zimeandikwa mule za watu kusulubiwa.
 
Hivi FF ni ke? Me? Maana kama ni Ke hupotray sifa za hiyo jinsia, btw single ya Nyerere ishabuma lete nyingine
 
Asikudanganye mtu, vitabu viko wazi kabisa, mwenye kudhulumu "hazidishiwi ila hasara".
Sasa inakuaje unakesha kutetea ccm humu jf?au ni njaa tuu ya buku 7 inakupelekea kupoteza utu wako huku ukijua waislam chini ya bakwata hawana lolote zaidi ya misikiti ktk tanzania?
 
Huko kote sikatai, nilichosema ni kwamba sisi sote tutasimama mbele ya haki na kila mtu atalipwa kutokana na matendo yake.
Tatizo langu mimi na wewe ni pale unapotaka kuwa hakimu wakati tunaambiwa anaefanya hiyo hukumu ni Mungu peke yake na si vinginevyo.

Hata hivyo ulikua tu ni mtazamo wangu ambao sio lazima uukubali. Thanks

Qur'an imeshasema wazi kwa wenye kudhulumu aka madhaalim:

​
Qur'an 40:18. Na waonye siku inayo kurubia, wakati nyoyo zitakapo fika kooni, nao wamejaa huzuni. Madhaalimu hawatakuwa na rafiki, wala mwombezi wa kuitikiwa.
 
Back
Top Bottom