SNAP J
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 7,117
- 8,096
Hapa ndio alipouzidisha uongo na kujikuta yupo nje ya ukweliumeme na maji kila nyumba.....kawadanganye watoto, wenzio tumefila huko kabla yako
Hapa ndio alipouzidisha uongo na kujikuta yupo nje ya ukweliumeme na maji kila nyumba.....kawadanganye watoto, wenzio tumefila huko kabla yako
Anaongelea Bumbuli yote au mission tu??Kwa kiasi fulani mleta thread yupo sawa...75% ya wakazi wa bumbuli mission kila nyumba ina bomba la maji na kuhusu umeme ni nyumba chache ndio hazina umeme na huduma ya maji ni bure bumbuli yote labda sasa wawe wameanza kulipia.
nimefanya kazi bumbuli hospital miaka 5 anayosema mleta thread ni kweli
Mbona jina lako linasadifu tofauti, Sifa?Makete kwa wakinga takataka tu Afadhali uendage bumbuli huko
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app