Dar Es Salaam hakuna kutu?Si kwa kutu hizo
Nitajuaje ya dar es salaam wakati picha ni ya Bumbuli???Dar Es Salaam hakuna kutu?
Tena ni mpuuzi kweliumeme na maji kila nyumba.....kawadanganye watoto, wenzio tumefila huko kabla yako
Kwa kiasi fulani mleta thread yupo sawa...75% ya wakazi wa bumbuli mission kila nyumba ina bomba la maji na kuhusu umeme ni nyumba chache ndio hazina umeme na huduma ya maji ni bure bumbuli yote labda sasa wawe wameanza kulipia.umeme na maji kila nyumba.....kawadanganye watoto, wenzio tumefila huko kabla yako
umeme na maji kila nyumba.....kawadanganye watoto, wenzio tumefila huko kabla yako
Hivi ushamba ni nini?Wasambaa washamba sana then wapo local
Makete kwa wakinga takataka tu Afadhali uendage bumbuli hukoBaada ya kumaliza Makete katika shughuli za kikazi leo nipo bumbuli kwa mbunge January makamba. Bumbuli ni kuzuri sana hali ya hewa ipo safi kabisa hakuna jua kabisa green city, wakazi wa Bumbuli ni wakarimu mno sio wachoyo.
Chakula bei chee kuna vyakula vingi sana, ukiwa na elfu 1000 unakula mpaka unasaza. Huduma za jamii zipo za kutosha kuna hospital kubwa kabisa Bumbuli Lutheran hospital utaiona kwenye picha.
Kuna vituo vya afya 8 zahanati ya Galambo, Mgwashi, Bumbuli, Kwehangala nk.
Kila nyumba ina bomba la maji pamojana umeme, huduma ya maji ni bure, shule za msingi na sekondari zipo za kutosha.
Tatizo kubwa la wasambaa bado hawajaelimika bado washamba wana asili ya uoga, bado wana ule u CCM.
Picha zinafuata
Tafuta kamusiHivi ushamba ni nini?
Na hizo picha umepewa??Mkuu nimefika jana tu hayo yote nimeambiwa na wenyeji wazawa wa huko
kingine nimfanyie mtu utapeli au promo ili iweje? au nimefanya makosa kuanzisha thread?