Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!


Baada ya 2025 hakuna mtu wa kumlinda Makonda, Magu atakuwa kaishaondoka. Kwa hiyo hicho ndicho kipindi Makonda atashitakiwa kwa makosa yake yote ya jinai aliyotakiwa kushitakiwa sasa na mengine atakayoendelea kuyafanya atakuwa JELA na siyo kuwa mgombea wa Rais. Baadhi ya CCM wenyewe anawatibua sema hawana cha kumfanya kwa sasa shauri ya Magufuli. Notable unsolved criminal offences against Makonda A.K.A Daudi Bashite: 1) Kughushi vyeti na kuapa kwa Rais tena kwa Biblia ikingali akijua jina wala cheti si chake. 2) Uvamizi wa silaha na vitisho dhidi ya wafanyakazi wa Clouds FM. 3) Utekaji nyara wa msanii Roma na hata wengine ambao hawajathibitishwa. 4) Kuamuru kusipo uhalali mlinzi wake wa usalama wa taifa kumtolea silaha na vitisho Mh. Nape hadharani.
 
kwenye uraisi nyerere alishasema, no chaggas, no hayas, no nyakyusas and finaly no sukumas kanuni bado inaendelea mpaka sasa.
 
kwenye uraisi nyerere alishasema, no chaggas, no hayas, no nyakyusas and finaly no sukumas kanuni bado inaendelea mpaka sasa.
No aliyataja makabila hayo matatu tuu ya mwanzo, ambayo ni kweli, they will never, hilo ulilolitaji halipo, ndio maana kuna mtu amebadili kabila ili awe!.

Paskali
 
This is the worst statment kusikia kutoka kwako PASKALI na kuanzia sasa nitaanza kuhoji uandishi wako wa habari, hivi una cheti gani vile? au issue ni USUKUMA???
Pole, mimi ni kama waandishi wa Tanzania, elimu yetu ni ya hapa na pale, sina cheti chochote, ila siko pekeyangu!, tuko wengi tunaoandika bila vyeti.

Kitu muhimu kwenye uandishi ni kujua kusoma na kuandika, kama ni vyeti, kuna wengi tuu wana deliver na hawana vyeti, tukiongozwa na kubwa lao!.

Paskali
 
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake apewe! Pamoja na tuhuma kibao, lakini hajawahi kutokea MKUU wa mkoa mbunifu na "effective" kama huyu wa Dar kwa sasa! Yawezekana watuhumiwa wa vyeti hujituma sana! Tukipata watuhumiwa wa vyeti wengine wapangiwe mikoa mingine yote na tutasonga mbele sana!
 
Makonda ana kipi special kiasi cha kumuona anafaa?
anza na mwaka wake mmoja wa ukuu wa mkoa ni innovation idea gan iliyowasaidia wananchi zaidi ya siasa za muda mfupi?
Inaonekana wewe ndugu unakaa Bulyankulu ndio maana huyajui anayoyafanya kijana Makonda jijini Dar
 
Paskali ni wewe unayeongea haya au nani? Wana Dar sasa hivi wanaongozwa na darasa la saba unataka Nchi nzima iongozwe na Mtu wa aina hii tena. Huyo mwache ifike 2020 baba yake akitoka tu madarakani atakiona cha moto kwa makosa aliyofanya
 
Una hitaji uangalizi wa daktari maalum. Maana umefika mbali sana
 
This is the worst statment kusikia kutoka kwako PASKALI na kuanzia sasa nitaanza kuhoji uandishi wako wa habari, hivi una cheti gani vile? au issue ni USUKUMA???

Tuliwaambia na Lissu wenu kuwa kuwashambulia watu wa Kabila moja itafikia mahala maji yatafuata mkondo sasa hivi wasukuma wanajihisi wamebaguliwa kwa kuitwa kiftina eti wana ukabila.sasa msilalamike.Tuliwaonya watafikia mahali watakusanyana na kuangalia kujitetea.Tuachane na hayo hebu twende na mada ya Paskali, Makonda ameonyesha jinsi alivyombunifu na mvumbuzi, kizuri zaidi yote anayofanya hajaiga ni copyright yake jamaa au kwa lugha ya nyingine.He is constructing his own legacy
 
HABARI,
Brother pascal HAA tafadhali na Teacher unamwacha wapi tena wakati 2025 tunamtegemea Hilo si liko wazi tuu.Angali usije kula bakora Kaka mimi simo.Labda asubiri 2035 sawa pia na umri unaangalia heri ya 2035 atakuwa 53 hapo sawa pia si unajua kuna kale kautaratibu kadogo ka dini.

LUMUMBA
 
Namuangalia huyu dogo pale Mlimani City na pia nimemsikiliza kwa makini, kiukweli atatufaa sana na itapendeza kama atampokea Magufuli ile 2025, iwapo Watanzania hatutaamua kukubadili kile kipande cha karatasi, kiitwacho katiba, kilichoweka ukomo wa urais, kama hiyo katiba imewezwa kukanywagwa katika mambo ya kijinga tuu kama kuruhusu watu wasio na kazi kuwa wazururaji kwa jina la maandamamo, na kuwaruhusu wasio na shughuli za maana za kufanya, kujikalia tuu idle bila kufanya kazi kwa kisingizio cha kuhudhuria mikutano ya siasa, tutashindwa nini kuiweka pembeni hiyo katiba na Magufuli aendelee indefinitely mpaka tutakapoona Watanzania tumetosheka naye?.

Paskali
 
Hivi bado hujaeuliwa tu kuwa DC. I hope siku si nyingi utaonwa mkuu. Umejitahidi sana kujikomba wasipokuona basi nenda pale Bagamoyo kaoshwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…