Baada ya kwisha kula chakula usifanye vitu vya aina 7 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baada ya kwisha kula chakula usifanye vitu vya aina 7

Discussion in 'JF Doctor' started by MziziMkavu, Sep 12, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,610
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  7 Dont's after a Meal

  1. Don't smoke- Experiment from experts proves that smoking a cigarette after meal is comparable to smoking 10 cigarettes (chances of cancer is higher).  2. Don't eat fruits immediately - Immediately eating fruits after meals will cause stomach to be bloated with air. Therefore take fruit 1-2 hr after meal or 1hr before meal.


  3. Don't drink tea - Because tea leaves contain a high content of acid. This substance will cause the Protein content in the food we consume to be hardened thus difficult to digest.


  4. Don't loosen your belt - Loosening the belt after a meal will easily cause the intestine to be twisted & blocked.


  5. Don't bathe - Bathing will cause the increase of blood flow to the hands, legs & body thus the amount of blood around the stomach will therefore decrease. This will weaken the digestive system in our stomach.


  6. Don't walk about - People always say that after a meal walk a hundred steps and you will live till 99. In actual fact this is not true. Walking will cause the digestive system to be unable to absorb the nutrition
  from the food we intake.


  7. Don't sleep immediately - The food we intake will not be able to digest properly. Thus will lead to gastric & infection in our intestine.
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  kwenye hilo la chai bado linanitatiza je ukinywa chai asubuhi haitakiwi?
  pili hilo lakumaliza kula na kutembea mboni litakuwa gumu kidogo..
   
 3. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #3
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,610
  Trophy Points: 280
  Kwa chai ni chakula cha mchana imekusudiwa siyo chakula cha asubuhi mkuu ndetichia
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Shixi889

  Shixi889 JF-Expert Member

  #4
  Sep 12, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 322
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Asante sana MziziMkavu ila ilo la pili ni kazi kweli maana mazoea hujenga tabia.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. uttoh2002

  uttoh2002 JF-Expert Member

  #5
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,681
  Likes Received: 2,740
  Trophy Points: 280
  Ukinywa chai asubuhi utakuwa umekunywa baada ya chakula Au baada ya kulala?

  QUOTE=ndetichia;4611827]kwenye hilo la chai bado linanitatiza je ukinywa chai asubuhi haitakiwi?
  pili hilo lakumaliza kula na kutembea mboni litakuwa gumu kidogo..[/QUOTE]
   
 6. steveachi

  steveachi JF-Expert Member

  #6
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 4,127
  Likes Received: 1,723
  Trophy Points: 280
  je na sie tunapomaliza kula tunakunywa mimaji vp docta hakuna madhara hasa maji ya baridi
   
 7. steveachi

  steveachi JF-Expert Member

  #7
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 4,127
  Likes Received: 1,723
  Trophy Points: 280
  je na sie tunapomaliza kula tunakunywa mimaji vp docta hakuna madhara hasa maji ya baridi
   
 8. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #8
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,610
  Trophy Points: 280
  Madhara ya kunywa maji baridi haya hapa mkuu steveachi
  [h=2]Effects of Cold Water[/h]

  [​IMG]


  For those who like to drink cold water, this article is applicable to you. It is nice to have a cup of cold drink after a meal. However, the cold water will solidify the oily stuff that you have just consumed. It will slow down the digestion. Once this "sludge" reacts with the acid, it will break down and be absorbed by the intestine faster than the solid food. It will line the intestine. Very soon, this will turn into fats and lead to cancer. It is best to drink hot soup or warm water after a meal.


  A serious note about heart attacks – You should know that not every heart attack symptom is going to be the left arm hurting. Be aware of intense pain in the jaw line.


  You may never have the first chest pain during the course of a heart attack. Nausea and intense sweating are also common symptoms. 60% of people who have a heart attack while they are asleep do not wake up. Pain in the jaw can wake you from a sound sleep. Let's be careful and be aware. The more we know the better chance we could survive.


  A cardiologist says if everyone who reads this message sends it to 10 people, you can be sure that we'll save at least one life. Read this & Send the link to a friend. It could save a life. So, please be a true friend and send this article to all your friends you care about.


  Its Never Late Forward Soon
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #9
  Sep 12, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Hapo namba 2: kutokula matunda immediately mara baada ya kula; nadhani kama upo safarini na ukaingia hotelini, kama umetengewa chakula pamoja na matunda, sidhani kama utasubiri saa 1; kama ndivyo hivyo itabidi kuachana nayo.
   
 10. steveachi

  steveachi JF-Expert Member

  #10
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 4,127
  Likes Received: 1,723
  Trophy Points: 280
  daaaaa,thanx mkuu,ngoja nibadili tabia ili nijinusuru kwani bado mwanangu anahitaji malezi yng,ubarikiwe sana kwa elimu hii uitoayo kwetu
   
 11. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #11
  Sep 12, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mbona baada ya kula mnaambiwa mle matunda?? Je ma dr mnatofautiana?
   
 12. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #12
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Mimi hapa ndio nachanganywa zaidi.
   
 13. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #13
  Sep 12, 2012
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Wenzetu nchi zilizoendelea kunywa chai/kahawa ni kila wakati...Tena utakuta hata asubuhi hawamind chai kabisaa
   
 14. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #14
  Sep 12, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Thank you
   
 15. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #15
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Nashukuru kwa kunijuza
   
 16. +255

  +255 JF-Expert Member

  #16
  Sep 12, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 1,908
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 180
  Hiyo #2 inakuaje, Wengine tunakula matunda na chakula at the same time?!
   
 17. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #17
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,781
  Likes Received: 36,776
  Trophy Points: 280
  Sizani kama unaelewa hii lugha ya kigeni.


  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 18. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #18
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,610
  Trophy Points: 280
  Huku Ughaibuni chai kila wakati kutokana chai inatia joto la mwili hali ya hewa huku ni baridi tofauti na huko nyumbani Tanzania utakunywa chai saa sita mchana joto kali kwanini unywe chai saa sita mchana? Zion Daughter
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #19
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,610
  Trophy Points: 280
  Mkuu Daudi mchambuzi nimejaribu Kutafsiri kwa kiswahili sijuwi kama nimekosea?

  Tujihadhari na Mambo 7 si ya kufanya baada ya kwisha kula.


  1Kuvuta Sigara baada kwisha kula si jambo zuri. Majaribio kutoka kwa wataalam inathibitisha kwamba uvutaji sigara baada ya mlo ni kulinganishwa na uvutaji sigara 10 upo uwezekana na wa kupata Maradhi (nafasi ya kansa ni ya juu).
  2. Usile matunda mara moja - Mara baada ya kwisha kula matunda baada ya chakula itaweza kusababisha tumbo kuvimba kuwa na hewa. Kwa hiyo inapendeza kula matunda baada ya saa1-2 kula chakula au kabla ya saa 1 kula chakula.
  3. Usinywe chai - baada ya kula chakula kizito tumboni Kwa sababu majani ya chai hujumuisha maudhui ya juu ya Asidi. Dutu hii itakuwa na kusababisha maudhui Protini katika chakula tunacho kula kuwa ni kigumu hivyo inakuwa ni vigumu kulainisha tumbo .
  4. usiulegeze mkanda wako wa kiunoni. ukiulegeza mkanda wako wa kiunoni baada ya kwisha kula, Kutasababisha matumbo mapana ya tumboni kukaza zaidi jihadhari na hiyo. Legeza mkanda uliovaa kiunoni kabla ya kula sio baada ya kwisha kula.  5. Usioge baada ya kwisha kula tafadhali. UKioga baada kwisha kula utaweza kusababisha ongezeko la mtiririko wa damu kwa mikono, miguu na mwili hivyo kiasi cha damu kuzunguka tumbo hiyo kupungua. Hii kudhoofisha mfumo wa utumbo katika Matumbo yetu.
  6. Usitembee baada ya kwisha kula chakula kizito - Watu daima husema kwamba baada ya mlo kutembea hatua mia na utaishi mpaka 99. Katika hali halisi hii si kweli. Kutembea itakuwa na kusababisha mfumo wa mmeng'enyo kuwa hawawezi kunyonya lishe
  kutoka chakula cha sisi tuanacho kula.
  7.baada ya kwisha usilala wakati huo huo haipendezi kabisa. - chakula ulichokula ukilala kwa huo wakati huo tumbo lako hakitalainisha hicho chakula. Hivyo itasababisha maradhi katika mfuko wa utumbo wa chakula & maambukizi katika utumbo yetu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #20
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,610
  Trophy Points: 280
  [/QUOTE]Chai asubuhi waweza kunywa pamoja na chakula ila ikiwa una mazoea ya kula chakula asubuhi chakula kizito kwa mfano ugali au wali kisha ndio unywe chai hapo hairuhusiwi lakini kama unakunywa chai pamoja na mkate waweza kunywa chai haina madhara mkuu ndetichia
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...