Marekani kumsaka mtoto wa Osama Bin Laden

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Marekani imemtaja Hamza ambaye ni mtoto wa kiume wa Osama Bin Laden katika orodha ya Magaidi.

Taarifa kutoka wizara ya ulinzi zinasema Hamza Bin Laden akiwa katika umri wa miaka ishirini amekuwa kiongozi makini wa kundi la Al Qaeda ambao ni wapiganaji wa kundi lililoanzishwa na baba yake.

Taarifa zinasema amekuwa makini katika suala hilo kwa kufuata nyayo za baba yake kwa kujiunga na jihadi na kusambaza ujumbe wa sauti kwa niaba ya kundi la Al Qaeda na kuchochea mashambulizi dhidi ya nchi za Magharibi.

Kwa sasa Atazuiliwa kufanya biashara na wananchi wa Marekani na mali zake zitataifishwa.

Kiongozi mkuu wa usalama wa kundi la Al Qaeda Ibrahim al-Banna ametajwa katika orodha hiyo pia.

Marekani itatoa ofa ya dola Million tano kwa atakayesadia kukamatwa kwa al-Banna.

===========
The United States has added the son of the late al-Qaeda leader Osama bin Laden to the US counter-terrorism blacklist, in a move that would keep him from accessing the US financial system.

The State and Treasury departments said on Thursday they had designated Hamza bin Laden a "global terrorist" who they said had "called for acts of terrorism in Western capitals".

Hamza, who is in his mid-twenties, has become active as a member of al-Qaeda since his father's death at the hands of US special forces on May 2, 2011.


Egyptian deputy Ayman al-Zawahiri has since taken up the reins of the organisation, but Hamza has also issued audio messages to supporters. He was officially named an al-Qaeda member in 2015, the US state department said.

In August 2015, al-Qaeda released an audio message that it claimed had come from Hamza, in which he urged attacks on the US and its allies.

Osama bin Laden, who founded al-Qaeda and was the alleged mastermind of the September 11, 2001 attacks in the US, was killed by American special forces who raided his compound in Abbottabad, Pakistan.

READ MORE: Al-Zawahiri named new al-Qaeda chief

Hamza was thought to be under house arrest in Iran at the time, and documents recovered from the compound indicated that aides had been trying to reunite him with his father.

According to letters found in the US raid on Osama's hideout in Pakistan, Hamza wrote to his Saudi-born father asking to be trained to follow him.

Bruce Reidel, an analyst with the Brookings Institution think tank in Washington, has called Hamza the "new face for al-Qaeda" and "an articulate and dangerous enemy," Reuters news agency said.

The US also added Ibrahim al-Banna, a senior member of al-Qaeda in the Arabian Peninsula (AQAP) to the counter-terrorism blacklist on Thursday.

Al-Banna, who was born in Egypt, has described al-Qaeda's 2001 attacks on New York and Washington as "virtuous" and threatened to target Americans in the United States and abroad, the state department said.

Before joining AQAP, he was a leader of Egyptian Islamic Jihad in Yemen, it said, adding that al-Banna threatened to target Americans abroad and urged Saudi tribes to unite with AQAP in Yemen to fight against Saudi Arabia.

Any property owned by the two men and subject to US jurisdiction may be frozen, and US citizens are prohibited from engaging in any transactions with them, the state department said.

Source: AL-Jazeera
 
naona kila rais wa marekani anapoingia madarakani anachaguliwa aina ya sinema ya kuingia nayo....hii ya mtoto wa Osama bila shaka ni sinema ya kuingia nayo madarakani ndg. Donald trump.
 
Hii nayo ni issue ya Trump na serikali yake. Yaani wanaitawala dunia kwa njia ya kufight against ugaidi na kupenetrate sehemu wanazozitaka kivita na kuzikalia wakiaminisha dunia wanapigana na magaidi.
Tunasema dunia ya kisasa na njia mpya za kiutawala.
 
Waongo tena matapeli wakubwa marekani wanadanganya dunia kwa propaganda zao.tangu wamuue saddam hussein leo ni zaidi ya miaka kumi mbona hatujaskia wamekamata japo silaha moja ya maangamizi? Walipotangaza kumuua Osama palikua na faida flani sasa haipo wameamua kumrudisha Osama kiaina. Ati mtoto wake Osama.hivi kweli taasisi itakaa imsubiri mtoto mpaka akue ndio tena ijiendeshe? Mutadanganya wajinga wenzenu hovyo kabisa.nyinyi amueni tu mutapiga nchi na sehemu mutakazo kwa kua muna nguvu basi pigeni tu musitafute visingizio ila iko siku cha moto mutakiona
 
Waongo tena matapeli wakubwa marekani wanadanganya dunia kwa propaganda zao.tangu wamuue saddam hussein leo ni zaidi ya miaka kumi mbona hatujaskia wamekamata japo silaha moja ya maangamizi? Walipotangaza kumuua Osama palikua na faida flani sasa haipo wameamua kumrudisha Osama kiaina. Ati mtoto wake Osama.hivi kweli taasisi itakaa imsubiri mtoto mpaka akue ndio tena ijiendeshe? Mutadanganya wajinga wenzenu hovyo kabisa.nyinyi amueni tu mutapiga nchi na sehemu mutakazo kwa kua muna nguvu basi pigeni tu musitafute visingizio ila iko siku cha moto mutakiona
Povu lamwishon limekoleaa sabun sanaa mix na kamaji kidogo
 
wanasema mtoto wa nyoka ni nyoka na shetani huzaa ........ kwa hiyo gaidi tutegemee kutoa mtoto wa aina gani?
na maji hufata mkondo
 
September eleven was never surprised terrorist attack that's inside job of some elites and they did it.
 
Back
Top Bottom