watu wengine wanatia hasira sana aisee,
huyo ni wa kupiga makofi kabisa
Sijaona thread ya mtu mwenye Masters kichwani hapo!!!
Inaelekea reception mbovu halafu kakijana kahandsome bora uendelee nacho tu senior single woman una katoto kamoja kakuzalisha ndoa hakuna hata hivyo vijienti vikufariji kidogo sio mbaya.Ukimuacha utataka mwengine atakupiga tukio kubwa zaidi.Mshukuru Mungu kakupa pesa na elimu mana wengine wamejaliwa uzuri ila vichwa vya panzi wanatapatapa tu mtaani kwa kugawa papuchi.
Dada, umeogopa hata kutuambia umri wako. ila kwa maelezo yako yaonesha huyo jamaa ni mdogo kwako. Tena inaonesha kafuata hiyo harufu ya pochi yako tu. Hao jamaa banaa wana kamchezo kao. Chuma sana huko ila uoe wa dini yako. That is the fact na hata wakija nisema hapa lakini hiyo ndo fact yao. Alikuvumilia kwa sababu ya mshiko mkubwa uliokuwa unampa. Just imagine 6 mil? Halafu akazichezea na wa kwao huko halafu bado unamwendekeza.
Nikuambie kitu; Siku utakapompiga chini, jiandae na mikasa. Mara nitakusomea sijui dua gani, mara utakuwa chizi, mara hivi na vile.
Komaa kiume, usiogope, hakuna dua iwezayo kumpata mtu mwema. Mwambie aje kuchukua hela za kununulia ubani. Piga buti tafuta kaserengeti kengine kenye akili ila sio miye. Sitaki kurithi mke
Me nahisi yeye ndo ana masters halafu wewe ndo unahiyo certificate, hata ulivyo andika haueleweki unataka nini yani kama wote wenye hizo masters ndo wanajieleza kama wewe dah.... sijui tu
Anaweza kuwa amesema we ni mbinafsi katika mambo mengine kwani mpaka liwe hilo la kumpa pesa unadhani pesa ndio kila kitu ktk mahusiano hahahahaha swadakta haya ulitakiwa kumuuliza kwanza ubinafsi wako uko kwenye swala gani kisha ndo ukuje hapa na kisa kamili yani kusema tu hivyo umekashikilia hako haneno ka uselfsh ndio tu kamekuleta hapa utadhani hauja wahi kukasia/kuambiwa.
Umri wangu ni 27 amenizidi miaka 4,nilishaachana naye na maneno hayo ameyasema sana,na sijasema nataka unirithi kwani huwezi,na hakuwa amenioa
Shonnah;
Achana naye, songa mbele na kama kuna uwezekano ili asikubughudhi hata siku unakutana na mtu wako, omba ruhusa uhamie mahali pengine ukakae kwa amani.
We unatuzingua tu hako kakijana bado unakipenda.Uzuri wa mtu uko machon mwa mtu,na sidhan kuna mtu mbaya kwa niaminivyo mimi,sijazaa bdo so hilo sio tatizo and ninaamini am among the sexiest,hot black women kwa hyo sikumpenda bcz yeye ni handsome,i loved his sense of humour and personalty among the other things,mapungufu yake yalikuja baadaye sana