Baada ya kuwa na wewe nimepata matatzo sana

Baada ya kuwa na wewe nimepata matatzo sana

Sijaona thread ya mtu mwenye Masters kichwani hapo!!!
 
Shonna me napata waswas na maelezo yako nahisi kuna ki2 umehide ila jamaa kachezea bahati ila ndo mapenz! songa mbele
 
Habari wanajamvi...
jamani i was in love na huyu jamaa bila kujali tofauti zetu za kielimu,dini wala kipato,yeye ni muislam mi mkristo,mimi nina Masters yeye kaishia form 4 japo alsma tourism certfcate,financial am much more,hvyo nikaona anakuwa insecure nkamshaur apart na kaz yke ya uongozaji watalii atafte kitu kingne ambcho kitampatia extra income,tukashauriana na akanieleza kitu anachotaka kufanya ila tatzo likawa mtaj nkampa 6 mil,afanye biz anayotaka ila ckuona biz yeyote ilyofanyka ukimuulza anakuwa mkali nkaona isiwe tabu nkaacha kumuulza
Akaamua kuchukua mkopo bank akafungua biz nkawa najtahd kumsaidia kuismamia ikawa inalpa vzuri ila nkiwa sipo anatumia pesa vbya mwisho biz ikamshnda ikaflisika mkpo hajamalza akaja kuomba msaada tena nkamsema sana nkakubl kumlipia mkpo miez 2 ili ajpange.
Pamja na hayo yote nkagundua anatembea na mke wa mtu na ushahd ninao akanambia they ar just friends japo wanachart intmate sms nkamua kujivua nw ananlalamika mi ni selfish nimmuingza kwenye maden.
je kuna ukwel?

Una Masters unaandika hivi, badala ya sana sn,tatizo ttz,wewe ww,

Nilicho gundua Mijitu Mingi humu Minafiki,

Kusema ana masters tu,Mmefunika makosa hayo ,Akiandika kijana ambae hana jina humu,utasikia mijitu peleka uandishi wako fb.
 
dada hongera maana umekuwa na upendo wa mshumaa kuwaka huku ukiteketea ili watu wapate mwanga. achana naye
 
Una Masters unaandika hivi, badala ya sana sn,tatizo ttz,wewe ww,

Nilicho gundua Mijitu Mingi humu Minafiki,

Kusema ana masters tu,Mmefunika makosa hayo ,Akiandika kijana ambae hana jina humu,utasikia mijitu peleka uandishi wako fb.

Ulishawahi kufanya note taking?sikulaumu...
 
Unafanya kaz gan shonnah maana naona upo strong sn inawezekana unafanya kaz za kijamii au sio?
 
Inaonekana wewe unamlea huyo mumewe kama mtoto bila shaka siyo elimu tu umemzidi bali hata kiumri utakuwa umemzidi.

halafu wewe ndiyo mwenye mapenzi ya kweli kwake lakini yeye hakupendi ila napenda pesa zako so take care.
 
Afu km hii stor inaendana kabisa na watu ninaowafaham pale arusha au ni nyie? Hahahahaaaa

tena mwanaume ni member humu ila sikujua na bibie ni memba ndo naona uzi wake.
 
Kwa kawaida mwanaume ukimzidi anakuwa na infiriority complex. il wa kwako alizidi na anapenda misifaaaa kapata kamkopo kachanganyikiwa anashindana na vijana wa mererani
 
Yaani ukamhonge njemba 6 mil hivihivi. .6 mil? Kweli una moyo sijui ndo wa mapenzi au wa uruma...!?
 
Hivi kweli wewe una MASTERS? MMMMHH!
 
Back
Top Bottom