Baada ya kuwa na wewe nimepata matatzo sana

Baada ya kuwa na wewe nimepata matatzo sana

Kichwa cha nyoka hakibebi mzigo bi mkubwa...

Wewe na huyo bwana ni watu wawili muishio katika fikra mbili tofauti...

Kama unataka tu mtu wa kumpenda basi endelea kuwa naye lakini kama unataka mtu wa kufanikiwa naye basi usirudi tena hapo.

Nilimpenda sana but nw nimekimbia wala sitaman kurudi nw kabakia kuntangazia ubaya
 
halafu mnasemaga hakunaga wanawake wenye mapenzi ya dhati... eti sie tunapendaga pesa tu

japo huwa najitahidi kutetea wanawake wenye kipato kuliko wenzi wao, ni ngumu sana kwa mwanamke kuwa kwenye relationship ambayo wewe mwanamke umemzidi mwanaume kipato. wengi wapo insecured.

liwalo na liwe bora kutafuta aliyekuzidi kipato, hata akihonga, anahonga za kwake sio za kwangu
kimbia wakati bado mapema ndugu yangu
 
heri usiwe na mwanaume lakini moyo wako uko salama na hauna matatizo kuliko kuwa nalo hilo zigo halafu matatizo hayaishi
endelea kulea hilo zigo lako siku likakuletea majanga usilie vumilia sababu umelilea toka zamani

Walisema love is blind and when a woman love she loves for real...nlikuwa mmoja wao but nw nimejivua pendo with scars ila najua i can survive
 
halafu mnasemaga hakunaga wanawake wenye mapenzi ya dhati... eti sie tunapendaga pesa tu

japo huwa najitahidi kutetea wanawake wenye kipato kuliko wenzi wao, ni ngumu sana kwa mwanamke kuwa kwenye relationship ambayo wewe mwanamke umemzidi mwanaume kipato. wengi wapo insecured.

liwalo na liwe bora kutafuta aliyekuzidi kipato, hata akihonga, anahonga za kwake sio za kwangu
kimbia wakati bado mapema ndugu yangu

Am a living proof mwanaume ukimzidi kipato anakusumbua japo tofaut hazkunzuia kumpenda ila sasa bhaaass,nyuma geuka mbele tembea nkafe na maumvu mbele huko
 
Huyu hawezi kusimamia maisha yake hivyo atakurostisha. Yaani yeye kaanza kuetembea na wake za watu. Huyo atakuletea balaa ipo siku utaletewa kashaliwa tigo halafu itakuwa aibu kwako pia.
 
Habari wanajamvi...
jamani i was in love na huyu jamaa bila kujali tofauti zetu za kielimu,dini wala kipato,yeye ni muislam mi mkristo,mimi nina Masters yeye kaishia form 4 japo alsma tourism certfcate,financial am much more,hvyo nikaona anakuwa insecure nkamshaur apart na kaz yke ya uongozaji watalii atafte kitu kingne ambcho kitampatia extra income,tukashauriana na akanieleza kitu anachotaka kufanya ila tatzo likawa mtaj nkampa 6 mil,afanye biz anayotaka ila ckuona biz yeyote ilyofanyka ukimuulza anakuwa mkali nkaona isiwe tabu nkaacha kumuulza
Akaamua kuchukua mkopo bank akafungua biz nkawa najtahd kumsaidia kuismamia ikawa inalpa vzuri ila nkiwa sipo anatumia pesa vbya mwisho biz ikamshnda ikaflisika mkpo hajamalza akaja kuomba msaada tena nkamsema sana nkakubl kumlipia mkpo miez 2 ili ajpange.
Pamja na hayo yote nkagundua anatembea na mke wa mtu na ushahd ninao akanambia they ar just friends japo wanachart intmate sms nkamua kujivua nw ananlalamika mi ni selfish nimmuingza kwenye maden.
je kuna ukwel?

Dah! duhhhhh!!!! kwenye miti hakuna wajenzi sijui kwa nini hukukutana na Mimi!!!!
 
Habari wanajamvi...
jamani i was in love na huyu jamaa bila kujali tofauti zetu za
kielimu,dini wala kipato,yeye ni muislam mi mkristo,mimi nina Masters
yeye kaishia form 4 japo alsma tourism certfcate,financial am much
more,hvyo nikaona anakuwa insecure nkamshaur apart na kaz yke ya
uongozaji watalii atafte kitu kingne ambcho kitampatia extra
income,tukashauriana na akanieleza kitu anachotaka kufanya ila tatzo
likawa mtaj nkampa 6 mil,afanye biz anayotaka ila ckuona biz yeyote
ilyofanyka ukimuulza anakuwa mkali nkaona isiwe tabu nkaacha kumuulza
Akaamua kuchukua mkopo bank akafungua biz nkawa najtahd kumsaidia
kuismamia ikawa inalpa vzuri ila nkiwa sipo anatumia pesa vbya mwisho
biz ikamshnda ikaflisika mkpo hajamalza akaja kuomba msaada tena
nkamsema sana nkakubl kumlipia mkpo miez 2 ili ajpange.
Pamja na hayo yote nkagundua anatembea na mke wa mtu na ushahd ninao
akanambia they ar just friends japo wanachart intmate sms nkamua kujivua
nw ananlalamika mi ni selfish nimmuingza kwenye maden.
je kuna ukwel?

Shonna! mh! mm no comment, naomba ni-pm tafa-dhwali!
 
Duuuuh!yani 6mil mtt wa kike unamgea mwanaume?hukua na ndugu wenye mahitaji ya hizo hela?hayo ndio madhara,kakuchuna naw anakuletea dharau,wakati kwny madeni kajitakia khaaaaa
 
Back
Top Bottom