Baada ya kuwa na wewe nimepata matatzo sana

Baada ya kuwa na wewe nimepata matatzo sana

Sijasema pesa ni kila kitu katka mapenz na inaelekea hujaelewa thread vzuri,unapokuwa kwenye mahusiano you have to compromise kama unaweza kumsaidia mwenzako si mbaya i did for love and good heart...tatizo linakuja pale ambao ana misuse my interntions

Hakuna mahala ambapo nimesema wewe umesema pesa ni kila kitu ila nimesema "unadhani pesa ni kila kitu".
Kuelewa au kuto kueleweka kwa thread yako kunatokana na maelezo yako swala kumbwa ulitotaka hapo lijadiliwa au ushauriwe ni lipi? kama sio hilo la ubinafsi
Nimesoma vizuri sana uzi wako yani pamoja na kuelezea kwako yote hayo lakini kubwa ambalo umelenga ni hili hapa;
"ananlalamika mi ni selfish nimmuingza kwenye maden.
je kuna ukweli?"

kinachoangaliwa katika stori au habari ni lengo kuu la kukupelekea wewe uandike sio visababu vidogo vidogo kama hivyo vya wewe kumpa pesa yawezeka ulimpatia kama kumkopesha afanyie biashara tu alafu badae akurudishia.
Swadackata..
Sorry hiyo masters yako ni ya nini vile?
 
Ole wako ukiache hiko kijamaa Albadir inakuhusu chezea jini makata na jini subiani wewe lazima yakunyonye kinyesi tena huna hata kinga na uzinzi wako huo.

Hayo ya albadir unayajua wewe na sihitaji kinga kwan sijafanya lolote baya,na unaponiita mzinzi unakosea kwan huna uhakika na hlo,and even so you are you that clean to point a finger at me?!i think not so dont judge me
 
Hakuna mahala ambapo nimesema wewe umesema pesa ni kila kitu ila nimesema "unadhani pesa ni kila kitu".
Kuelewa au kuto kueleweka kwa thread yako kunatokana na maelezo yako swala kumbwa ulitotaka hapo lijadiliwa au ushauriwe ni lipi? kama sio hilo la ubinafsi
Nimesoma vizuri sana uzi wako yani pamoja na kuelezea kwako yote hayo lakini kubwa ambalo umelenga ni hili hapa;
"ananlalamika mi ni selfish nimmuingza kwenye maden.
je kuna ukweli?"

kinachoangaliwa katika stori au habari ni lengo kuu la kukupelekea wewe uandike sio visababu vidogo vidogo kama hivyo vya wewe kumpa pesa yawezeka ulimpatia kama kumkopesha afanyie biashara tu alafu badae akurudishia.
Swadackata..
Sorry hiyo masters yako ni ya nini vile?

Umeeleweka nashukuru kwa maoni
 
Hayo ya albadir unayajua wewe na sihitaji kinga kwan sijafanya lolote baya,na unaponiita mzinzi unakosea kwan huna uhakika na hlo,and are that clean so that you can point a finger at me?!i think not so dont judge me
Katubu dadangu ili upate kinga ya malaika wa Mungu huyo jamaa hawezi kukuacha hivi hivi kibuzi chake.Ni ushauri tu lakini,
 
na unaponiita mzinzi
Hivi mlikuwa mmefunga nae ndoa?
na je hauja wahi kugegedana nae?
Kama hayo yote hauja wahi kuyafanya basi hausitahili hiyo sifa uliyopewa na huyo member.
Ila kama ni kinyume na hapo basi kaa ukijua kwamba mtu alioko katika mahusiano ya kimapenzi na haja funga ndoa ni mzinzi.
 
uswahilini tunasema amepiga teke pochi la mzungu. Utakuwa ulimpenda kutokana na utozi wake na kunyenyekea watu wa namna hiyo huwa ni watanashati sana na pia baby, honey,sweetheart haziishi midomoni wewe ukaona umepata wa kukupenda kumbe tozi anasubiri akumege aanze kukuletea pozi na namna hiyo kila aina ya mapenzi atakupa yaani atakunyonya kuanzia unyayo, papuchi hadi unywele pole dadangu tafuta levo yako hapo umebugi.

Daah apo umenena umenifraisha kinoma...umegusa penyewe.
 
Hivi mlikuwa mmefunga nae ndoa?
na je hauja wahi kugegedana nae?
Kama hayo yote hauja wahi kuyafanya basi hausitahili hiyo sifa uliyopewa na huyo member.
Ila kama ni kinyume na hapo basi kaa ukijua kwamba mtu alioko katika mahusiano ya kimapenzi na haja funga ndoa ni mzinzi.

Sijafunga ndoa na sijawah kuzini naye so mi sio mzinzi,sio kila mwenye mpenzi lazma afanye uzinzi wengne hatukufunzwa hivyo
 
Sijafunga ndoa na sijawah kuzini naye so mi sio mzinzi,sio kila mwenye mpenzi lazma afanye uzinzi wengne hatukufunzwa hivyo

Kama unayo yasema yanatoka moyoni mwako na ni kweli basi hongera lakini ni bulabula bado sifa itabaki palepale
Sasa naomba nikuulize tena.
WEWE HAPO UNAMAANISHA HAUJA WAHI KUFANYA MAPENZI??
 
Kama unayo yasema yanatoka moyoni mwako na ni kweli basi hongera lakini ni bulabula bado sifa itabaki palepale
Sasa naomba nikuulize tena.
WEWE HAPO UNAMAANISHA HAUJA WAHI KUFANYA MAPENZI??

Well said
 
Hapo ndio wanawake mnapochanganya madawa mkidhani mnafanya mambo ya maana. Huwezi kumbadilisha tabia mwanaume mtu mzima mwenye ndevu zake mpaka mwenyewe aamue. Kama ulidhani utamchukua halafu umbadilidhe tabia afanane na mtu wa kwenye ndoto zako umechemsha.Wewe subiri tu uletewe bi mdogo kwani huyo jamaa imani yake inamruhusu.
 
pole sn dada ni heri uachane nae, dunia ya leo maradh mengi wangu
 
Interesting....
Yaani mnaangaliana na kukopeshana tu sio???

Sijafunga ndoa na sijawah kuzini naye so mi sio mzinzi,sio kila mwenye mpenzi lazma afanye uzinzi wengne hatukufunzwa hivyo
 
heri usiwe na mwanaume lakini moyo wako uko salama na hauna matatizo kuliko kuwa nalo hilo zigo halafu matatizo hayaishi
endelea kulea hilo zigo lako siku likakuletea majanga usilie vumilia sababu umelilea toka zamani

Asante hayo maneno kuntu.
 
Dah pole sana embu fata ushauri wa watu8 pale mwanzo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom