Baada ya kuwa na wewe nimepata matatzo sana

Baada ya kuwa na wewe nimepata matatzo sana

Shonnah

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
200
Reaction score
55
Habari wanajamvi...
jamani i was in love na huyu jamaa bila kujali tofauti zetu za kielimu,dini wala kipato,yeye ni muislam mi mkristo,mimi nina Masters yeye kaishia form 4 japo alsma tourism certfcate,financial am much more,hvyo nikaona anakuwa insecure nkamshaur apart na kaz yke ya uongozaji watalii atafte kitu kingne ambcho kitampatia extra income,tukashauriana na akanieleza kitu anachotaka kufanya ila tatzo likawa mtaj nkampa 6 mil,afanye biz anayotaka ila ckuona biz yeyote ilyofanyka ukimuulza anakuwa mkali nkaona isiwe tabu nkaacha kumuulza
Akaamua kuchukua mkopo bank akafungua biz nkawa najtahd kumsaidia kuismamia ikawa inalpa vzuri ila nkiwa sipo anatumia pesa vbya mwisho biz ikamshnda ikaflisika mkpo hajamalza akaja kuomba msaada tena nkamsema sana nkakubl kumlipia mkpo miez 2 ili ajpange.
Pamja na hayo yote nkagundua anatembea na mke wa mtu na ushahd ninao akanambia they ar just friends japo wanachart intmate sms nkamua kujivua nw ananlalamika mi ni selfish nimmuingza kwenye maden.
je kuna ukwel?
 
Ndo tatizo la mamburula huwa hawajielewi wanachotaka!
 
Apo km unaona kila kukicha majanga piga teke la nyuma endelea na mambo yako km ni kuishi single lady au km atatokea wa kujielewa muwekane ndan. Au anaetakiwa kupewa ushauri ni uyo tour guide?
 
Afu km hii stor inaendana kabisa na watu ninaowafaham pale arusha au ni nyie? Hahahahaaaa
 
Si kweli... yeye mwenyewe ameshindwa kutumia akili yake.. na sasa anapata what he deserve
 
heri usiwe na mwanaume lakini moyo wako uko salama na hauna matatizo kuliko kuwa nalo hilo zigo halafu matatizo hayaishi
endelea kulea hilo zigo lako siku likakuletea majanga usilie vumilia sababu umelilea toka zamani
 
uswahilini tunasema amepiga teke pochi la mzungu. Utakuwa ulimpenda kutokana na utozi wake na kunyenyekea watu wa namna hiyo huwa ni watanashati sana na pia baby, honey,sweetheart haziishi midomoni wewe ukaona umepata wa kukupenda kumbe tozi anasubiri akumege aanze kukuletea pozi na namna hiyo kila aina ya mapenzi atakupa yaani atakunyonya kuanzia unyayo, papuchi hadi unywele pole dadangu tafuta levo yako hapo umebugi.
 
Nashukuru ila Sikumpenda kwa sbbu ya utozi alikuwa mtu mzuri tu
 
Kichwa cha nyoka hakibebi mzigo bi mkubwa...

Wewe na huyo bwana ni watu wawili muishio katika fikra mbili tofauti...

Kama unataka tu mtu wa kumpenda basi endelea kuwa naye lakini kama unataka mtu wa kufanikiwa naye basi usirudi tena hapo.
 
Back
Top Bottom