Baada ya kuwa na wewe nimepata matatzo sana

Nilimpenda sana but nw nimekimbia wala sitaman kurudi nw kabakia kuntangazia ubaya

Pole sana mwanakwetu kwa yalokukuta, wahenga walisema akheri umfadhili mbuzi utakunywa mchuzi kuliko binaadam ana maudhi

NO PAIN NO GAIN
 
Mdada,
Huyo ----- isiwe ndio sample ya kutuukumu wanaume wote.utapata mtu bora na kujutia muda wote uliopoteza naye.
 
kama hujui maelezo anayotoa yana ukweli au hayana then unahitaji msaada mkubwa dada yangu....halafu unasema una masters eeeh...
 
kama umempenda na unadhn una future naye, endelea kumbadilisha tu, japo kazi unayo
 
naogopa kutoa ushauri, huyu mama ana masters mimi mchoma mkaa nipo kama huyo jamaa yake....
 
Habari wanajamvi...
jamani i was in love na huyu jamaa bila kujali tofauti zetu za kielimu,dini wala kipato,yeye ni muislam mi mkristo,mimi nina Masters yeye kaishia form 4 japo alsma tourism certfcate,financial am much more,hvyo nikaona anakuwa insecure nkamshaur apart na kaz yke ya uongozaji watalii atafte kitu kingne ambcho kitampatia extra income,tukashauriana na akanieleza kitu anachotaka kufanya ila tatzo likawa mtaj nkampa 6 mil,afanye biz anayotaka ila ckuona biz yeyote ilyofanyka ukimuulza anakuwa mkali nkaona isiwe tabu nkaacha kumuulza
Akaamua kuchukua mkopo bank akafungua biz nkawa najtahd kumsaidia kuismamia ikawa inalpa vzuri ila nkiwa sipo anatumia pesa vbya mwisho biz ikamshnda ikaflisika mkpo hajamalza akaja kuomba msaada tena nkamsema sana nkakubl kumlipia mkpo miez 2 ili ajpange.
Pamja na hayo yote nkagundua anatembea na mke wa mtu na ushahd ninao akanambia they ar just friends japo wanachart intmate sms nkamua kujivua nw ananlalamika mi ni selfish nimmuingza kwenye maden.
je kuna ukwel?

Huyo ni psychological abuser. Run when you can...
 
Achana na huyo, mwanamme ukimzidi tu lawama zote utatupiwa wewe. Wanaume wasomi na wanaojielewa wapo kibao. Huyu atakufanya usijiendeleze maana atakuwa anachezea mtaji ili usisonge ukamwacha nyuma zaidi.

Thanx kwa ushauri
 
khaaaaa
hebu kimbia faster na usigeuke, huyo sio mwanaume.
anadate leo na mtu mwingine mkioana je?
 
Habari wanajamvi...
jamani i was in love na huyu jamaa bila kujali tofauti zetu za kielimu,dini wala kipato,yeye ni muislam mi mkristo,mimi nina Masters yeye kaishia form 4 japo alsma tourism certfcate,financial am much more,hvyo nikaona anakuwa insecure nkamshaur apart na kaz yke ya uongozaji watalii atafte kitu kingne ambcho kitampatia extra income,tukashauriana na akanieleza kitu anachotaka kufanya ila tatzo likawa mtaj nkampa 6 mil,afanye biz anayotaka ila ckuona biz yeyote ilyofanyka ukimuulza anakuwa mkali nkaona isiwe tabu nkaacha kumuulza
Akaamua kuchukua mkopo bank akafungua biz nkawa najtahd kumsaidia kuismamia ikawa inalpa vzuri ila nkiwa sipo anatumia pesa vbya mwisho biz ikamshnda ikaflisika mkpo hajamalza akaja kuomba msaada tena nkamsema sana nkakubl kumlipia mkpo miez 2 ili ajpange.
Pamja na hayo yote nkagundua anatembea na mke wa mtu na ushahd ninao akanambia they ar just friends japo wanachart intmate sms nkamua kujivua nw ananlalamika mi ni selfish nimmuingza kwenye maden.
je kuna ukwel?

duuh! Aisee umenitiaje hasira !!!
Kupenda gani uko aisee uwii upendo wa hasara hapana!
Achana nae kabisa hana shukrani tumbafu yeye.
Kumsaidia kote,kujishusha kote maana ni nadra kwa elimu yako kuwa na mtu wa elimu yake tena dini tofauti bado haoni.
Girl, u gotta move out asap! Run!!!
Fanya yako invest kwa wadogo zako ama wazazi wako?je mmezaa?i bet kama hamjawahi kutoa mimba pia.
Think How much have u sacrifice on this ungrateful leach?time,money,feelings,status,ur relationship with God?how much??
Please achana nae kwa faida yako.
Yes start being selfish now..he doesnt deserve yo time! Im speaking from myheart kama ningekuwa mimi ni wewe,ila maamuzi ni yako.
Goodluck doll.
 
Mtoa mada hiyo masters ulipewa tu mbona unashindwa kufanya conclusion ya jambo dogo kama hilo??

Kifupi na simamia hilo hakufai kabisa achana nae, mwache aanze maisha yake ya utapeli aone mambo yalivyo magumu.

Acha kuwa kipofu kwa ajili ya mapenzi.
 
yaani!!!! Huyu wakuchapa na rula huyu!! Me imeniudhi! Mapenzi gani hayo!
 
Mtoa mada hiyo masters ulipewa tu mbona unashindwa kufanya conclusion ya jambo dogo kama hilo??

Kifupi na simamia hilo hakufai kabisa achana nae, mwache aanze maisha yake ya utapeli aone mambo yalivyo magumu.

Acha kuwa kipofu kwa ajili ya mapenzi.

I admt i was fool but aint no more i have move on..i work my ass to reach where nilipo and i loved the ungratefull bastard but aint no more
 
bado maelezo yako hayaja jitosheleza,so napata ugumu kukushauri
 
waswahili wanasema kwenye miti hakuna wajenzi , kuna watu wenyewe wakiharibu hutafuta wangine wa kuwabebesha lawama ingawa makosa yanakuwa ni yao pole dada unatakiwa ufanye maamuzi ambayo hutayajutia ni wewe ndio unajua nini unataka katika maisha yako
 
Back
Top Bottom