mwengeso
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 9,286
- 6,729
Nani kasema kuna ubaya?
Gereza limejengewa wanadamu hivyo wacha kukufuru wakati nawe ni kiumbe dhaifu
In God we Trust
Lini?Wewe
In God we Trust
Hiyo fursa ulioina wewe na kuiskia!
Bila ya siasa huyo zitto angemkumbatia ujinga si tusi!
Dadeeki muonee huruma ndio katoka jela!
Ndumilakuwili ni msemo ambao haupo ktk lugha ya kingereza. Nadhani tuipe msamiati mpya doublebiterHe's ndumilakuwili,you right
hivi unajua wewe jinga lao na magonjwa mtambuka mnaongoza kwa kudharauliwa hapa jamiiforums?Wewe Huna hoja nimeamua nikupuuze rasmi sasa
Mungu awabariki sana wazunguTuwashukuru wazungu kwa kushinikiza Kabendera aachiwe
Huo ni uhujumu uchumi tosha kabisa yaweza kuwa tiketi ya kutekwa na kung'olewa kucha ama kuuawa!Kwa mujibu wa Nyumbu za Lumumba kuonana na Zitto au Lissu ni utakatishaji fedha tosha kabisa.
Hiyo ni chenchi uliyochangiwa kwenda kumzika mzazi mwenzako ndo ukamalizia kibanda chako cha kuku!
Zitto unaposema hajafanya kwani crime huwa mnafanya nae lakini hizo alizokiri hakifanya?View attachment 1368331
Great to meet and hug Erick Kabendera at home. So sad that my friend will live, atleast momentarily, with a criminal records for crimes he didn’t commit.
@Zitto amefubaa Sana kisiasa anaishia kupepea na upepo wa kiki zenye huruma ya wananchi ili aonekane anaijali jamii ila honestly Zitto ana Tabia za wale wanaotaka madaraka kwa namna yeyote ile which is scary.