Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,686
- 12,016
Waendelee kupokea mzigo kutoka kwa Mabeberu arudi tena mahabusu
Bado fomu za uongozi hazijakwisha ampe agombee nafasi!
Bado fomu za uongozi hazijakwisha ampe agombee nafasi!
Amualike kwenye chama chake sasa.
Waendelee kupokea mzigo kutoka kwa Mabeberu arudi tena mahabusu
Wivu na roho mbaya vitakuua
Kwani lazima nifaidike?Alafu wewe utafaidika na nanini?
In God we Trust
Mwanasiasa mnafiki na opportunist alie bobea ! Too bad this guy !
Dadeeki muonee huruma ndio katoka jela!Huwezi kuiona maana una macho lkn huoni na una masikio lkn husikii
In God we Trust
Bila ya siasa huyo zitto angemkumbatia ujinga si tusi!Tatizo lako wewe ni kuwa kila kitu unakiingiza kwenye siasa, jambo ambalo ni ushamba na ujinga
In God we Trust
Hiyo fursa ulioina wewe na kuiskia!Huwezi kuiona maana una macho lkn huoni na una masikio lkn husikii
In God we Trust
Kiongozi, mwanaharakati...usitutoe mstalini... Tupe maoni yako kwa mhamo wa Madiwani huko Mbeya!!!View attachment 1368331
Great to meet and hug Erick Kabendera at home. So sad that my friend will live, atleast momentarily, with a criminal records for crimes he didn’t commit.
Amualike kwenye chama chake sasa.
Nani kasema kuna ubaya?Kwani kuna ubaya gani?
In God we Trust
Waendelee kupokea mzigo kutoka kwa Mabeberu arudi tena mahabusu
ndabhonye ikitingi hano Murugo!Ntacho mbonye au wewe ubhona ighiki?