Baada ya kutendwa na umpendae je ulipata mpenzi mpya aliyekufuta machozi yako?

Ntakuambia wakati mwingine
acha niupe moyo wangu nafasi ya furaha ya
kuanza weekend BAK
Tuchukulie chapter moja tu ile ambayo ilikuumiza zaidi kuliko nyingine zote. Niko poa sana namshukuru Mungu, nawe je?
 
Last edited by a moderator:
once loved,sana..unajitoa 100% and mtu anakuchukulia for granted miaka nenda rudi,inafika mahali unamuachia MUngu plus let go and i thank God for what i have now and who is with me..
Bad memories zipo but unakuja kujua that,just enjoy the ride while it lasts,Mungu ana mipango yake kwa kila jambo.
With this sick world,i do believe in love bado..nakutendwa kote.
 
Kila mtu kaumizwa kwa njia tofauti lakini lazima maisha yaende tu.. ipo siku uta smile tena na machozi yatafutika

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Mimi ni mmoja wa waliokwisha umizwa vibaya,thanks JF,I have got someone to heel my broken heart,sikuwa na imani kama inge workout lakini to be honest am happy like never before.
 
Nilimpenda na kumthamini kuliko nafsi yangu nlimuheshimu na kumtii kuliko mzazi wangu,nlimsamehe hata alipokuwa hastahili kusamehewa nlimpa robo tatu ya maisha yangu ila nlichoambulia ni dharau matusi kudhalilishwa hadi kwa familia yangu na vitimbwi vya kila aina pamoja na kuharibiwa maisha yangu! Sijawai kushau maumivu cdhani kama ntakuja kuyasahau nimejaribu sana kuanza upya na kujarbu kupenda upya lakini siwez moyo wangu ulimpenda yeye tu hautokuja kupenda tena najihurumia mwenyewe sababu nlipenda nisipopendwa hua natamani aonje hata theluth ya maumivu aliyonipa lakini wapi kila leo yeye anadhidi kunawirika na furaha tele maishani mwake akat me nazidi kuzoofika na kukondeana!
Mwenzenu kupenda tena basi m just having fun...!
 
Maumivu yangu bado yamoto hayajapoa,duh ila inauma,ucngz hupat,kula huli,mawazo kibao,but i have to move on.
 
Kimsingi unapopata janga huwa linakuachia somo tosha la kujifunza kwalo
Kadhalika katika mapenzi unapo-break na mtu..hata kama wewe ndio ulikuwa mkosaji kuna kitu unakipata
Hivyo unapoingia kwenye mahusiano mapya walau unakuwa na experience kidogo na mambo hayo
Angalizo: Unaweza teseka hata mara4 kabla ya kupata wa kukufuta machozi
Maisha ya mapenzi ni kama 'trial and error'
hata dereva mzuri ni yule aliyeanzia kuendesha gari bovu,huwezi kujua gari nzuri kama bovu au baya hulijui
 
Binafsi sikusubiri kuachwa direct maana nlishaona dalili kua nliachwaga siku ming ila tu sikupewa za uso...nlipoona am the only one naetaka relation i work mwenzangu hana hata mpango nikajitoa taratibu,haikua rahisi nlikua naumia,nalia na nkapata na vidonda tumbo,bdae mambo yakaenda Hubby akatokea sikumpa asilimia zote at the first place ila badaye akapata the love he deserved.
So tujifunze kupenda tunapopendwa
 
Ha ha ha! Hii ina uhusiano na kutotaka kujihusianisha na wenye mafanikio, yaani wale matawi ya juu?


^^
Naona kila mmoja anasema KATENDWA mimi tu ndio NIMETENDA. Hao wa mafanikio tumieni tu
^^
 
Nafikuri niliumbwa tofauti kidogo conditional love.nilishaapa kabisa never on this eath kulay my soul on anybodys shoulder.na akinitenda wala hainiumi na siachani na mtu nikitaraji kupata mwingine mzuri,naangalia maisha yangu akitokea sawa asipotokea life goes on.si lazima sana.
 
kutendwa kunauma ila unakuwa makini ukiingia ktk uhusiano wngn na unakuwa na tahadhari sn....mi nikihs hueleweki nakuita twaongea ukiendelea km mara 2 zaidi najitoa kimyaaaaaaaa kimyaaaaaaa ctk presha tena za mapenzi.
 
Back
Top Bottom