Usishuke anza kwa kumuambiaNipo kwenye bolt hp ina maana nishuke au
Madereva wa Bolt ndio hao hao wa ubee na taxfy.Usishuke anza kwa kumuambia
"Ebwana nasikia mnapiga watu na kupora, una uzoefu katika lipi? Kupiga au kupora?"
ooh hivyo ndo sababu ya kugombana na wateja?kwa kifupi hakuna maelewano kati ya wamiliki wa mtandao wa Bolt/uber/ nk na madereva kwani bei zinapangwa na wenye app na mamlaka aka latra wamekaa kimyaaaa wao kazi kukusanya mapato sio kusimamia usafiri wa mtandaoni kila siku wanaibuka na kitu kipya
Nadhani ni vita ya biashara kuharibiana. Unajua Bolt wapo efficient unlike Uber. Mimi nawatumia sana na mtandao wao hauchezewi kama uber.sasa ni kwa nini case kama hizi zinawakumba Bolt pekee?
Tofauti za bei za Bolt na Uber ni kama 2,000 kama mfano unatoka Airport to Bagamoyosogeza hiyo page ya bei kama inasogea usipewe screenshot ya bei
Hapo Sasa jiulize na wewe inakuaje dereva ambae ana application tatu (Uber, taxfy na bolt ) aonekane mbaya akiwasha bolt na sio Uber au Taxfy.sasa ni kwa nini case kama hizi zinawakumba Bolt pekee?
hapana relax blood likukute jambo 😂😂😂Nipo kwenye bolt hp ina maana nishuke au
Usishuke anza kwa kumuambia
"Ebwana nasikia mnapiga watu na kupora, una uzoefu katika lipi? Kupiga au kupora?"
Aisee, we jamaa ur so intelligent.Madereva wa Bolt ndio hao hao wa ubee na taxfy.
Maana unakuta dereva mmoja ana application zote 3
Sijasikia kuhusu kukamatwa kwao ila tu inasemekana wanapigwa block tu kuhudumia kupitia boltHapo Sasa jiulize na wewe inakuaje dereva ambae ana application tatu (Uber, taxfy na bolt ) aonekane mbaya akiwasha bolt na sio Uber au Taxfy.
Kwa kifupi hizi ni michezo michaFu ya baadhi ya madereva Kuna vitu Wanatengeneza.
Madereva wote Hadi uwe verified na Uber au Taxfy Kuna taarifa Hadi za police criminal records zako. Kwamba Kama kuna siku gari A limekufanyia ujinga Huyo dereva kukamata na ndani ya dakika kadhaa maana Kuna taatifa zake zote kuanzia police hadi system za Uber au Taxfy.
Je Kuna taarifa ya dereva yoyote kukamatwa ?