johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,965
- 141,968
CCM ni chama kinachoheshimika sana Afrika na duniani kote.
CCM ndio kimezaa vyama vyote vya siasa nchini.
Tabia za kihalifu zilizoonyeshwa na baadhi ya wanachama wake wakiwemo Hamza na Ole sabaya ni lazima zikemewe vikali.
Ikiwezekana wanachama wote wa CCM wahakikiwe upya na wale kiapo cha kutii imani ya chama kama ilivyokuwa ikifanyika wakati wa mfumo wa chama kimoja.
Maendeleo hayana vyama!